Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We ni wazimu that's a high speed train and tanzania imejenga standard gauge railway not ment for high speed ama you never knew what SGR in full stood for??? It means standard mark my words "standard" not high speed
Acha ku expose ujinga wako hapa
 
The cluster and the greenery blend so well. Africa's best fintench city, dynamic city and most innovative city. Nairobi has scooped so many continental titles wengine wakibishania title ya population na ukubwa wa shamba.😂😂😂
View attachment 1849775
One pic uperhill ndani, CBd ndani na wetsland ndani😂😂😂 alaf ndio nyinyi munashindana na dar
 
Yakianguka wanaanza kulia 😂😂😂

9027611D-45A4-4FF1-9A0D-B54462A33246.jpeg
 
Recent eehh maamaeee, Kenya na usafi wapi na wapi
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

One pic uperhill ndani, CBd ndani na wetsland ndani😂😂😂 alaf ndio nyinyi munashindana na dar
Dar ikona CBD moja pale posta hizo zingine munaita CBD mumetengeneza kando barabara ju hakuna planning. 😂 😂 😂 Kwa hio picha hapo ni just a part of Westy. Our main CBD na Upperhill zinaonekana kwasababu ghorofa ni refu sio kama kwenu ukitoa posta unabaki na ghorofa mbili refu.
 
Nani alikwambia dar kuna CBd mbili ?? 😂😂😂😂😂 sio nyinyi mulikua mukiita upperhill na westland CBd?? 😂😂😂
Niliwah kusema nairobi ni ndogo sana tena sana kwa dar ikiwa picha moja inakusanya CBd, upper hill na westland nini kimebaki??

huu mchezo hautaki hasira budaaa
 
Nakwambia hivi hizi picha mbili ni kwamba moja wkt road ikiwa mpya ya pili ni tayari road ishachakaa kwa uchafu wenu uliokithiri, ss nioneshe road hii ikiwa safi mana mkunya mwenzako anasema low quality picture[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1849988
20210225_111201.jpg

Mchina huaga anafurahia project za Kenya Sana 🙂
 
Back
Top Bottom