Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa wacha niwapongeze Wazanzibari kwa kufungua a new modern airport terminal. Hii terminal 3 ya Zanzibar airport ni modern sana. Nawatakia Wazanzibari kila la kheri na mpokee watalii wengi zaidi. Mimi nawapenda Wazanzibari kushinda Malazy kutoka Mainland. Watu kutoka Tanganyika wana roho mbaya ila watu wa Zanzibar ni wakarimu.

Hatuna haja ya kupendwa na Wakenya wanafiki, upendo wetu Watanzania kwa Watanzania unatutosha, Zanzibar ni Tanzania pia ukarimu ni asili yetu.
 
'Sisi tunaconnect villages, tumebakisha vijijini 2000 tu', alisikika mtanzania mmoja akisema 😂 😂 😂

Angalieni Mitaani vile kunapendezaa, watanzania mna maisha gani nyinyi maskini wamwisho duniani.​

IMG_20210710_122521.jpg
 
Hapa wacha niwapongeze Wazanzibari kwa kufungua a new modern airport terminal. Hii terminal 3 ya Zanzibar airport ni modern sana. Nawatakia Wazanzibari kila la kheri na mpokee watalii wengi zaidi. Mimi nawapenda Wazanzibari kushinda Malazy kutoka Mainland. Watu kutoka Tanganyika wana roho mbaya ila watu wa Zanzibar ni wakarimu.

Kunyaland nzima haina Airport ya modern na quality ya namna hii!
 
Hospistali nzuri no wonder ndo maana wamefilisika mpaka kuuza kampuni Tanzania nadhani waliwekeza sana kwenye huu mradi!
Niliona video moja apo..venye walivyo kua wakifunga kazi na kujulisha wafanyikazi..ilikua inahuzunisha sana kwa sababu wengi wao walikua wanalia juu apo ilikua tegemeo lao..Ndio maana mimi husema atakama ukiajiriwa fungua biashara yako kando iku support kazi ya kuajiriwa huisha wakati wowote..ni vyeme ikwishe lakini ikupate kama umejipanga
 
'Sisi tunaconnect villages, tumebakisha vijijini 2000 tu', alisikika mtanzania mmoja akisema

According to Business Daily
Screenshot_20210710-130147.jpg
Screenshot_20210710-130401.jpg
 
Hapa wacha niwapongeze Wazanzibari kwa kufungua a new modern airport terminal. Hii terminal 3 ya Zanzibar airport ni modern sana. Nawatakia Wazanzibari kila la kheri na mpokee watalii wengi zaidi. Mimi nawapenda Wazanzibari kushinda Malazy kutoka Mainland. Watu kutoka Tanganyika wana roho mbaya ila watu wa Zanzibar ni wakarimu.
Wacha unafkii
 
Back
Top Bottom