Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na nawaambia ukweli leo tarehe 08.07.2021 kwamba hii interchange itaanguka, siombei iwe hivyo bali ni kwasababu ya jinsi ilivyojengwa ni kama imepachikwa tu, very low quality engineering.
WIVUUU kisa hamuna, idiot.
 
Niliwapa kichapo kwenye sector ya elimu mkapoteana humu usijisahaulishe

Mtujengee sisi bullet trains wakati mitungi yenu ya chang'aa ya medieval age imewashinda mpaka mchina akaingilia kati?
Hehehe!!narudia tena, bajeti yetu ta elimu inawajengea nyie sgr we ukitaka lia sasa
 
Simba 254 tunasubiri vituko sasa. Maana ndio mwisho wako hapo. 🤣 🤣🤣
Ameleta mingi sana bila vijimaneno, wewe unaleta na kupayauka pia, yaani havitoshi kujisimamia😂😂😂😂 wapi jibu, nikizipanga one by one VS zile secondary schools(oops Tanzanian Universities eti) umeleta, you are below, so puinguza Kiswahili kama kawaida, weka vipicha vijitetee., kumbe mko ovyo hivi? 😂 😂 😂
 
Waziri ndio kipimo cha context ya local government au ni matumizi mabovu ya pesa za umma kuunda vyeo vya kishenzi kulipana mabilioni wakati mnakufa njaa

Ndio maana 90% ya makusanyo yote ya KRA ni kulipa mishahara.
Hatufanani mzee, msilazimishe tuwe km nyinyi wajati uwezo wetu mkubwa..
Eti county ni sawa na halmashauri, yani nilicheka kizembe sana baada ya kuona kilaza ana force na yeye kwao waonekaniwe wanajua
 
Kampala International University in Tanzania​

1625896903230.png

1625896965071.png

1625897044334.png

WhatsApp-Image-2021-06-21-at-13.09.02.jpeg

WhatsApp-Image-2021-06-21-at-13.09.21.jpeg
 
Ameleta mingi sana bila vijimaneno, wewe unaleta na kupayauka pia, yaani havitoshi kujisimamia😂😂😂😂 wapi jibu, nikizipanga one by one VS zile secondary schools(oops Tanzanian Universities eti) umeleta, you are below, so puinguza Kiswahili kama kawaida, weka vipicha vijitetee., kumbe mko ovyo hivi? 😂 😂 😂
Umekuja kuharibu siyo. 🤣 🤣🤣
 
maoni yangu. hizo posts za mazao hazina uhalisia.. mfano unaweza kutoa picha google za kilimo cha mahindi za mwaka 2000 huko ila saiz hawalimi tena au shamba limefifia
Wewe sema ukweli sio ku bit around the bush,ni hivi kwenye ubora wa kilimo,teknolojia nk hatuwezi kuwafikia Wakenya na tunatumia mbegu zao nyingi na kujifunza kuanzia kwao .

Wao wame venture kwenye plantation kitambo na hata small scall farmers wao wako advanced.
 
Sijawai ona mtu hana aibu kama wewe hehe after kushindwa sasa tena unaleta vitu mbovu mbovu hata kuharibu zaidi 🤣🤣🤣🤣 maskini wa mungu jikaze tu kuondoa aibu 🤣🤣🤣🤣🤣
Umeiona kenyatta University hadi ina mall ndani hospitaly ya kimataifa hehe na bado unakuja na vijibanda bila haya eeh we mwanaume kweli look at usiu library snd gym pekee utoe upuzi hapa sahii
images - 2021-07-10T091937.232.jpeg
images - 2021-07-10T091943.570.jpeg
images - 2021-07-10T092009.050.jpeg
images - 2021-07-10T092016.796.jpeg
 
Sijawai ona mtu hana aibu kama wewe hehe after kushindwa sasa tena unaleta vitu mbovu mbovu hata kuharibu zaidi 🤣🤣🤣🤣 maskini wa mungu jikaze tu kuondoa aibu 🤣🤣🤣🤣🤣
Umeiona kenyatta University hadi ina mall ndani hospitaly ya kimataifa hehe na bado unakuja na vijibanda bila haya eeh we mwanaume kweli look at usiu library snd gym pekee utoe upuzi hapa sahii
View attachment 1848245View attachment 1848246View attachment 1848247View attachment 1848248
Mzee mbona umeanza kulia lia tena. Kenyatta university ulishaiweka hapa. Vipi tena. Nimekwambia leo mpaka ujinyee.
 
Back
Top Bottom