Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimejifunza wewe kumbe mlagai tu you dont value dignity and you ain't a gentleman Bora Geza Ulole he sometimes stands for the truth mwambie akufunze kuwa mugwana kidogo
Sisi hiyo ni kawaida yetu Watz, mtu akileta uongo anaambiwa, co kama nyinyi hamuambiani ukweli hata mtu anapoongopa mnabebana ujinga tu.
 
These lazy bones need to be reminded that Kenya is way ahead of them in many spheres. Hizi kelele za uzalendo is not enough to topple Kenya at the helm of East African economic and sociopolitical game.
Mmebaki na maneno maneno tu, tunataka vitendo co maneno, cz maneno c ndio hayo mnajiweka mbele ya Egypt na Morocco kwenye better health services, lkn tukiwaambia mlete hizo health services mnazosema ni bora mnaleta mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamna University kumbe mwenzako Amekua akipost institutes hehe tukianza institutes labda nikue napost list after list kama picha
Cha kushangaza ni kwamba sijaona UDSM yn Watz tuna dharau sn, nyie mmeleta vyuo vyenu vyote mmemaliza na mkawa mnarudia cc bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmebaki na maneno maneno tu, tunataka vitendo co maneno, cz maneno c ndio hayo mnajiweka mbele ya Egypt na Morocco kwenye better health services, lkn tukiwaambia mlete hizo health services mnazosema ni bora mnaleta mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vitendo kama gani bongalala? Za madalali ama?
 
Hapa wacha niwapongeze Wazanzibari kwa kufungua a new modern airport terminal. Hii terminal 3 ya Zanzibar airport ni modern sana. Nawatakia Wazanzibari kila la kheri na mpokee watalii wengi zaidi. Mimi nawapenda Wazanzibari kushinda Malazy kutoka Mainland. Watu kutoka Tanganyika wana roho mbaya ila watu wa Zanzibar ni wakarimu.
 
Kwahiyo real estate co utajiri cz wanatumia mawe kuzijenga au sio? Do you know the meaning of Assets?
Bongolala, those are assets held by a few Arab individials. They do not affect the life of a common Dar resident.

Secondly, wealth is not just limited to real estate. It encompasses many things like financial services, real estate, infrastructure, among g other things.

Even in terms of asset ownership, Nairobi is home to a whooping 6,200 dollar millionaires, the biggest of any city in EA. Lanes please!
 
Hapa wacha niwapongeze Wazanzibari kwa kufungua a new modern airport terminal. Hii terminal 3 ya Zanzibar airport ni modern sana. Nawatakia Wazanzibari kila la kheri na mpokee watalii wengi zaidi. Mimi nawapenda Wazanzibari kushinda Malazy kutoka Mainland. Watu kutoka Tanganyika wana roho mbaya ila watu wa Zanzibar ni wakarimu.
Asante sana kwa kutupongeza Watz kwa kutumia kodi zetu kuendelea kuing'arisha EA kwa kujenga modern airpots kila kukicha, nawaombeni na nyie msilale mtumie kodi za wananchi kwa utimamu na hofu ya Mungu km sisi Watanzania mtafika.
 
Bongolala, those are assets held by a few Arab individials. They do not affect the life of a common Dar resident.

Secondly, wealth is not just limited to real estate. It encompasses many things like financial services, real estate, infrastructure, among g other things.

Even in terms of asset ownership, Nairobi is home to a whooping 6,200 dollar millionaires, the biggest of any city in EA. Lanes please!
Wewe ni mpumbavu kama kitu hukijui achana nacho na co kuropoka tu, c umeona ulivyoaibika na msaada wa Google.
 
.

20210709_141358.jpg
 
Wewe ni mpumbavu kama kitu hukijui achana nacho na co kuropoka tu, c umeona ulivyoaibika na msaada wa Google.
In knew you got nothing in that empty head of yours. Stupid rhetoric talk as always. Kaa mkao wa kula uonyeshe njia
 
BRT ya Kenya imekaa kisiasa,kituo chembamba kweli,halafu mpk leo bado kiko kimoja no dedicated lanes no platform,"tumetekeleza" si tuliahidi BRT haya hiyo hapo na ni kweli😂 😂 hahaha
Nani amekwambia haina dedicated lanes
 
Watanzania mtajinyea.
2836829_tapatalk_1625849039396.jpg

Forget about the expressway coz I know that's where your whole focus will be. Just look at the neighboring areas. Looks very much organized. Compare with your Swahili shanties in Dar thrown in every little available space with no room to breath. Picha za Kibera ruksa
 
Hapa wacha niwapongeze Wazanzibari kwa kufungua a new modern airport terminal. Hii terminal 3 ya Zanzibar airport ni modern sana. Nawatakia Wazanzibari kila la kheri na mpokee watalii wengi zaidi. Mimi nawapenda Wazanzibari kushinda Malazy kutoka Mainland. Watu kutoka Tanganyika wana roho mbaya ila watu wa Zanzibar ni wakarimu.

Hii ya Arusha wasisahau
images.jpeg
 
Back
Top Bottom