Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utaleta picha za kibera hadi lini? Look how small it is in relation to the rest of Nairobi
f03d66632af81f060fefcabe0ddbb48f.gif


Now compare with your uswazi that cover your entire city
images(198).jpg
urban-slums-dar-es-salaam-tanzania-urban-slums-dar-es-salaam-tanzania-africa-208638763.jpg
images(193).jpg
 
Tatizo lako hujui physics, hivi unafahamu hizo streamliner (zenye pua iliyochongoka) ni zile za spidi kuanzia 250km/h na kuendelea? Kwasababu air resistance kwa spidi hiyo inakuwa kubwa sana inabidi mbele kuchongoke ili kupunguza resistance hiyo? Je yetu kwa sasa itaenda spidi hiyo?
Wakati mkituaminisha kwamba hizo ndio mtanunua hamkuwa mnajuwa hii physics? Ama ni somo umepata leo?
 
is imara daima really in Eastlands or Nairobi South
It is in Eastlands coz neighbouring areas like pipeline ziko Eastlands. Nairobi south nafikiri huanzua South C. My thinking though, I might be wrong
 
Wewe nawe una akili za Mafenesi!

Mnapata shilingi ngapi kwenye tourism? Mnapata wageni wengi most of whom ni beach-boys na wasukuma vitoroli kwenye maduka huko ulaya ambao hutembea kwa miguu wakiwa Kenya na kula Mihogo na Chips kavu kwenye vibanda na wenye nazo kati ya hao hula kwa mama ntilie.

Hii imepelekea Kenya kupata watalii wengi na mapato machache sana.

Ni Mjinga tu anaweza jenga terminal ya meli za kitalii instead ya kuwawezesha Pokots na wajinga wengine Kenya kujitosheleza chakula.

Kila mwezi Kenya kuna mtu anamuua ndugu yake wa damu kwa kugombania Ugali!

Man kills his father over ugali in Sivende village Kakamega county​




Rice, Chapati ni chakula cha anasa Kenya.


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Instead of commenting like a fool please enlighten yourself on matters of devolution government system then you will understand what I meant. Hehe as if there is any area that does not collect revenue.
Usiniletee machozi mimi kipi mnakifanya ambacho Tanzania hakifanywi?

Halmashauri zina budgets zao, mabunge yao, madiwani wao, civil servants wao, bendera zao, Court of Arms zao, vipaumbele vyao, miradi yao na hawaingiliwi na serikali kuu (Central Government) kwenye maamuzi yoyote
 
Unatukumbusha enzi za nyayo mzee[emoji1787][emoji1787]
County bajeti yao inapangwa kwenye bunge lao alafu waziri wa fedha anatoa mgao..

Nyie endeleeni na mifumo ya kizamani tu, ndio manake nchi imeshindwa kujinasua miaka yote hyo...
Kenya katiba miaka kumi tu mashinani kumekua kumoto
Mlituiga wakati akili za kuendesha mfumo hamna

 
Back
Top Bottom