Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Bado sana hizo, tuliambiwa bullet
Bado sana hizo, tuliambiwa bullet
You only search what you want to see. Hii pia ni product ya Hyundai tena electric
Mnatafuta pa kutokea.Even Australia uses Rotem trains.Bado sana hizo, tuliambiwa bullet
Hii old version South Korea hawezi tuletea sisi hiiYou only search what you want to see. Hii pia ni product ya Hyundai tena electric
View attachment 1849556
Kwani nyinyi akina Nani ndio msiletewe hiyo😂😂Hii old version South Korea hawezi tuletea sisi hii
Sisi latest generation😂😂😂Kwani nyinyi akina Nani ndio msiletewe hiyo😂😂
It's under construction all those divisions will be demolishedMpo alergic na kuweka lanes separation markings!
Sawa lakini zenyu si hizo nikama ununue toyota probox halafu uanze kupost toyota land cruiser hiyo si sawa
Unadinywa weweUpdated list of least developed countries from World Bank, Tanzania is in the list
Least developed countries: UN classification | Data
Least developed countries: UN classification from The World Bank: Datadata.worldbank.org
View attachment 1849551
Sasa umekubali kuwa Tanzania bado ni LDC?😂😂😂😂
Nairobi bila mchina ni manispaa iliochangamka






Si Nairobi inakutesa Sana? This is another Chinese project coming up in Ngara, eight towers with 34 floors each😂😂😂.Nairobi bila mchina ni manispaa iliochangamka
GTC, Expressway nk
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Umerudi pale ambapo km hko kwenu office space value ina depreciate kw kasi ya 4g, sheria zenu kw wawekezaji sio rafiki..Sio kweli 90% majengo marefu mengi ni either government parastatal au social security fund.Apartments is mostly dominated by Tanzanian with African origin after all Indian and Arabs unaongea ni pure Tanzanians sio Kama Britam towers and the likes vambazo ni pure foreign company.Remember in Tanzania no foreigner can own land except for investment.
Hizi ni trams sio trains za Masafa marefu.
Kwn wenyewe wanasemajeGtc ni mali ya nani? Nioneshe real-estates yoyote kubwa inayojengwa saivi Nairobi inayomilikiwa na mkenya? Zote ni wachina, wahindi, wapakistan, waarabu, Wazungu huu ndio ukweli mchungu na huna la kufanya![]()


Umeanza kua mjinga kama wenzakoNairobi bila mchina ni manispaa iliochangamka
GTC, Expressway nk
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
mwambie akasome Bernoulli principle asikupe shida. wakenya wengi wanajua kingereza ndio elimuTatizo lako hujui physics, hivi unafahamu hizo streamliner (zenye pua iliyochongoka) ni zile za spidi kuanzia 250km/h na kuendelea? Kwasababu air resistance kwa spidi hiyo inakuwa kubwa sana inabidi mbele kuchongoke ili kupunguza resistance hiyo? Je yetu kwa sasa itaenda spidi hiyo?
Unatukumbusha enzi za nyayo mzeeLOL "each county gets its own funds "
Well in Tanzania each 'county' makes it's own funds
View attachment 1849143


Wacheni excuses. Mnaletewa vichwa vya ng'ombe
View attachment 1849211
Watanzania wamelia sana huku![]()
![]()
Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler! Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...www.jamiiforums.com