Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii nyumba iko South B na rent ya 1 bedroom ni 35,000 pesa ya kenya na iko almost kujaa. Majority of bongolalas cant afford nairobi.​

View attachment 1849409
Wanabiashara wao huku, hawkers wa vitenge na wana boda boda wanaishia mukuru kwa njenga ama Kibera.., wamajaa Nairobi kutafuta hela za kutuma vijijini mwao.
 
Iyo sio barabara kwa karne Hii Ni aibu unaleta tu..ilifaa useme kwa upole maana unachekesha,KE Ni LMIC Sawa tu na TZ...
Wenye barabara Za ku-brag ni hawaView attachment 1849430
Ukubwa wa barabara inategemea na volume ya magari per hour! Haijengwi tu., Uwezi Jenga kama hii umepost na magari ni chache, foleni inaonekana wakati wa rush hours pekee. Na hiyo ya Kenya iko under construction bado, measured according to traffic ya hiyo highway to Nakuru.,
 
Ukubwa wa barabara inategemea na volume ya magari per hour! Haijengwi tu., Uwezi Jenga kama hii umepost na magari ni chache, foleni inaonekana wakati wa rush hours pekee. Na hiyo ya Kenya iko under construction bado, measured according to traffic ya hiyo highway to Nakuru.,
Ndio maana nilikwambia bado hauna cha kujisifu kausha
 
Tanzania ni LDC.
Jamaa unachuki binafsi ila zinakuunguza mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1849497
Screenshot_2021-07-04-12-48-02.jpg
 
Rea etstate ya tanzani 99% wamegawana wahindi na waarabu[emoji23][emoji23]
Sio kweli 90% majengo marefu mengi ni either government parastatal au social security fund.Apartments is mostly dominated by Tanzanian with African origin after all Indian and Arabs unaongea ni pure Tanzanians sio Kama Britam towers and the likes vambazo ni pure foreign company.Remember in Tanzania no foreigner can own land except for investment.
 
Haooooo wamepigwa.
Reli class C
Stations vibanda vya mvua
Double stack haibebi
Miaka kumi imepita bado wanahangaika
Trains zenyewe bitwaa la ngombe 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 1849509
Hii ni kwa ajili ya mizigo check passenger trains looks like

Screenshot_20210711-132652.png
 
Back
Top Bottom