Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacheni excuses. Mnaletewa vichwa vya ng'ombe

1625978308064.png

Watanzania wamelia sana huku 👇 👇

At-Taanun IslamicTanzania Kwani mumefanyana Nini na Moto
Kwani nini kilitokea juzi pale kongowea market...jana pia kimetokea nini pale marikiti market?

Kazi ni kufuatilia habari za Tanzania na huku hujui nini kinaendelea nchini kwako.
 
Kwani nini kilitokea juzi pale kongowea market...jana pia kimetokea nini pale marikiti market?

Kazi ni kufuatilia habari za Tanzania na huku hujui nini kinaendelea nchini kwako.
Lakini kwenu Ni Ghafla Sana inaonekana Roho za Mababu wenu hazijafurahishwa na matreni mulizonunua🤝Tafakari hayo Good morning🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Imagine Miili za Watu 12 za Wakenya wafanyakazi Saudi zemeletwa na Ndege,Mbona Waafrika tunateswa hivi Nchi za Kiarabu why😢Hawafai hivi tufanye Nini???
 
Back
Top Bottom