Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mfano hii ni Australia iliingia 2019 ina speed ya 160 km/hr
Screenshot_20210711-043052_Chrome.jpg
Screenshot_20210711-043110_Chrome.jpg
 
Uchumi wetu hauna misingi Imara...inaniumiza sana I have to admit that,haiwezekani na hainiingii akilini kwamba thoruba kidogo tu tumeanguka

i’m not an economist.. kiuchumi, kuwa na misingi imara ni kuwa na nn? mifano!
 
Tourism is one of the main pillars of our economy, yes good infrastructure is a very big priority. Unajua nyinyi hua na resources mingi lakini hamjui kutumia kisha muna anza kulalamika kwanini Kenya inapokea wageni wengi kuwashinda. We know how to package our stuff. Kama sahii our athletes who are heading to the Olympics. Sports attire zao ziko branded na Mpesa logo, tunajua kujiuza my friend. We are currently preparing Nairobi for Urban Tourism.

Wewe nawe una akili za Mafenesi!

Mnapata shilingi ngapi kwenye tourism? Mnapata wageni wengi most of whom ni beach-boys na wasukuma vitoroli kwenye maduka huko ulaya ambao hutembea kwa miguu wakiwa Kenya na kula Mihogo na Chips kavu kwenye vibanda na wenye nazo kati ya hao hula kwa mama ntilie.

Hii imepelekea Kenya kupata watalii wengi na mapato machache sana.

Ni Mjinga tu anaweza jenga terminal ya meli za kitalii instead ya kuwawezesha Pokots na wajinga wengine Kenya kujitosheleza chakula.

Kila mwezi Kenya kuna mtu anamuua ndugu yake wa damu kwa kugombania Ugali!

Man kills his father over ugali in Sivende village Kakamega county​




Rice, Chapati ni chakula cha anasa Kenya.
 
Uchumi wetu hauna misingi Imara...inaniumiza sana I have to admit that,haiwezekani na hainiingii akilini kwamba thoruba kidogo tu tumeanguka
Your kiswahili is abit deep, what does do you mean maybe we can engage
 
Back
Top Bottom