Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rows of apartments along Donholm road in Donholm
images (51).jpeg
 
Nyie hamna akili ndio maana mnakufa na njaa.

Kuna kitu kinaitwa priority, nyie mnajifanyia tu ili watu wapige hela.

Sasa terminal ina msaada gani kwa pokots wanaokufa na njaa ama wewe unaeshindia mkate or umbwa wanakunya kwenye mifuko kibera?
Tourism is one of the main pillars of our economy, yes good infrastructure is a very big priority. Unajua nyinyi hua na resources mingi lakini hamjui kutumia kisha muna anza kulalamika kwanini Kenya inapokea wageni wengi kuwashinda. We know how to package our stuff. Kama sahii our athletes who are heading to the Olympics. Sports attire zao ziko branded na Mpesa logo, tunajua kujiuza my friend. We are currently preparing Nairobi for Urban Tourism.
 
Unapenda ubishi sana kijana. Sasa unataka tuanze kubishana kuhusu malls wakati unajua vizuri sana kwamba hautaweza hii vita? Have you forgotten that hapa Sub-Sahara Africa Kenya ni ya pili kwa mall spaces after South Africa? Nyinyi hata Lagos yenyewe inawashinda sasa Nairobi ndio mtawezana nayo? Tumalize kwanza ile mada ya 5* hotels, hii ya malls sina muda nayo coz you'll end showing us viosks vya mama ntilie as malls
We c ulikimbia mada ya hotels wewe leo umerudi tena duh
 
Wasomali wenyewe wanasemaje
Manake naona umekasrika mapema kweli na bado mechi changa
Gtc ni mali ya nani? Nioneshe real-estates yoyote kubwa inayojengwa saivi Nairobi inayomilikiwa na mkenya? Zote ni wachina, wahindi, wapakistan, waarabu, Wazungu huu ndio ukweli mchungu na huna la kufanya 😅😅😅
 
Bro we una wazimu sahii inke ya nairobi is developing at a faster rate than Nairobi are you forgetting kenya is a devolutionised country now???? Each county gets it's own funds budget and government so now no one needs to come to nairobi for anything
LOL "each county gets its own funds "

Well in Tanzania each 'county' makes it's own funds

Screenshot_20210711-052842.png
 
Haya ni maneno ya mlazy mmoja aliyeumwa sana na hatua ya GoT kununua mitungi ya chang'aa. Link nimeweka mwisho unaweza kufuata ukajisomea.


Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!

Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.

Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?

Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?

Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.

That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?

Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?

Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?

Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.

Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!


 
Tazama vitu visafi mlivyotudanganya mtaletewa kumbe ilikuwa uongo tu. Malazy punguzeni uongo jameni. Uongo utakuja kuwauwa siku moja.
View attachment 1849156
View attachment 1849157
Tatizo lako hujui physics, hivi unafahamu hizo streamliner (zenye pua iliyochongoka) ni zile za spidi kuanzia 250km/h na kuendelea? Kwasababu air resistance kwa spidi hiyo inakuwa kubwa sana inabidi mbele kuchongoke ili kupunguza resistance hiyo? Je yetu kwa sasa itaenda spidi hiyo?
 
Back
Top Bottom