Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hapo mlangoni ukija na Ambulance ipo speed ndio unafia hapo hapo getini [emoji1787] Sio kwa Marked road hiyo . Kwa sauti ya Mapesa.
 
Na huo udogo wake bado Nairobi ni two times wealthier than Dar😂😂.
Wealthier of what ??? 😂😂😂 ikiwa 75% watu wanaishi kwenye maisha zaidi ya nguruwe kuna utajiri gani au unamaanisha utajiri wa politicians na wale wajanja wachache
 
Express way nakumbuka nilifkiri munajenga nyinyi kwa pesa yenu kumbe ni ya mchina kwa miaka 30 na mutalipia hapo kwa lazma sio ombi 😂😂😂😂

GTC nayo ni ya mchina ni yale yale unaruka mkojo unakanyaga mavi 😆😆😆😆

Narudia kusema mwambie mwenzako asante kwa render
 

Kila kitu sio Chao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usipokimbia nitakusifu mzee..chagua, tuanzie ushuani au mitaani kw kila kitu mzee
Tena hapo mmezzd mpk Morroco na Egypt health care services zenyewe ndiyo hizi mnapost humu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1845160
 
🤣🤣🤣🤣🤣 kama kawaida yao kwenye maneno 10 chukua moja uondoke

Simba 254 vp mzee umekula kamasi
 
Barabara yenyewe imechoka hatari 😂😂😂
 
Mkunya hii facility ipo New York city

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…