The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Aisee nilijua tu ukija unawamaliza kabisa





Twende gameLet's start a fresh, hakuna kurudia picha.
Thi is pioneer school. Post yako tuendelee.
View attachment 1839821
Hawa jamaa ni wajinga sana, tuwe nao makini mana mm mwenyewe since morning nakamata wezi tu






Mbona unaogopa issue ya roads and bridges!? 🤣 🤣🤣Mumeogopa kuanza Maneno ya malls?
Step by step tuingie malls then roadsMbona unaogopa issue ya roads and bridges!? 🤣 🤣🤣
Naona unabishana na kilaza wa aina yke 🤣🤣🤣🤣Maneno mengi mbona Mzee. Leta hotels zenyu. Hotels hamuiwezi TZ kijana.
Hio ni canter lorry walichofanya wamechonga body ili masokwe wapande 🤣Basi limechoka kweli
View attachment 1839876
Mbona mnaogopa kenya na malls hivoHio ni canter lorry walichofanya wamechonga body ili masokwe wapande 🤣
Hotels nyingi sio za Kunyaland pictures nyingi za wizi 😅😅😅Hawa jamaa ni wajinga sana, tuwe nao makini mana mm mwenyewe since morning nakamata wezi tu![]()
Hii hoteli ilipigwa bomu ama 😂😂😂😂
Nkt badala mkubali kushindwa munaanza kujitetea heheHotels nyingi sio za Kunyaland pictures nyingi za wizi 😅😅😅
Mzee last week tumeweka malls kibao hapa. Mbona unaogopa Roads and Bridges. Najua kenya roads ni zero KUBWA. 💉 💉💉Step by step tuingie malls then roads
Hehe ikapigwa bomu na nani?Hii hoteli ilipigwa bomu ama 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 oneni hoteli hio hata nyota 4 haimoHilton garden inn, usione nimekaa kimya nasoma rada tu.View attachment 1840051View attachment 1840052
Okay we go to roadsMzee last week tumeweka malls kibao hapa. Mbona unaogopa Roads and Bridges. Najua kenya roads ni zero KUBWA. 💉 💉💉
Google it ujue ina nyota ngapi🤣🤣🤣🤣 oneni hoteli hio hata nyota 4 haimo
Nani walishinda kwa malls?Mzee last week tumeweka malls kibao hapa. Mbona unaogopa Roads and Bridges. Najua kenya roads ni zero KUBWA. 💉 💉💉
Tuko roads Maneno ya hoteli wachana nayo tulisha shinda