Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi limechoka kweli
Screenshot_20210704-100608.png
 
Hivi ghorofa mingi wanajenga nairobi wakileta kama tatu mombasa dar kwisha habari yake.
Kenya ni Nairobi tu, Tanzania ni nchi nzima ndio maana issue ya best hotels mnaleta picha za hotel za Nairobi tu cc tunaleta za Tz nzima cz development kwetu ni nchi nzima
 
😲😲😲😲😲😲😲😲nimeshangaaa saana! Hakuna kama hii, sio Kenya tu, Africa yote! Hakuna mahoteli kabisaa! Salaala Tanzania! Tanzania paradiso 😲😲😂😂😂😂.😂😂., next nishangae.., Kenya haziko.., hatujui hoteli ni nini.., tuonyeshe.., mwaga vipicha😂😂😂😂😂😂NEXT....,
White Sands - Dar kama Dar. Nairobi zzzzzz
1625382535807.png

1625382571005.png


1625382623524.png


1625382658831.png

1625382703966.png

1625382751633.png
 
Hivi ghorofa mingi wanajenga nairobi wakileta kama tatu mombasa dar kwisha habari yake.
Uzi wa Dar vs Mombasa urudishwe kirasmi.., aerial view ya Dar iliwaumbua kwa Nairobi no comparison, ni Kiswahili wamebaki nayo kwa sasa😂😂.,
 
Bongolala, we were doing 5-star hotel comparison with your brother, not guest houses kama hii ya Arusha. Keep it strictly 5-star, not guest houses
Watoe wapi hizo five stars.., hii battle ilikua hapa miaka mingi, was driven by geza..., tuliwafunza tofauti ya stars kwa hoteli, nakumbuka vizuri.., bongolala anaona muonekano tu.., beyond that, ni very ignorant 😂😂😂., walichoka zamani!😂
 
Back
Top Bottom