Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku nikigundua kuna nchi inaizidi Tz hapa Afrika mashariki na kati basi ndiyo siku ambayo naondoka kwenye huu uzi, Uzuri Villa-Boitique Hotel Zanzibar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1839688View attachment 1839689View attachment 1839690View attachment 1839691View attachment 1839692View attachment 1839693
Hii ndio ubaya wa kudandia train kwa mbele. How difficult is it to follow simple rules of engagement? Is this even a 3-star hotel? And is it in Dar?
 
Achana na hawa vilaza. I asked one of them tufanye battle ya 5-star hotels kati ya Nairobi na Dar but they are already posting gurlest houses za Arusha na Mwanza. How do you deal with such minds? Si unawaacha tu wajifurahishe?
Wanyonge siku zote😂😂., Cheza nao kama vile paka anavyocheza na panya baada ya kumkamata😂😂., Tanzania ni panya EAC.,
 
Unatuwekea maghofu. Dead houses
Screenshot_20210704-110234.png
 
Huyu amepost ya Nairobi au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
Ni kwa sababu aliona ukipost hadi guest houses za Arusha na Mwanza so akadhani hiyo ndio battle. I was engaging Venus Star vizuri sana wewe ukaingia na viherehere na kuvuruga battle. Nionyeshe ni wapi Venus Star alipost hoteli ambayo ipo nje ya Dar. He kept it strictly Dar ila wewe ukaja na ujuaji mwingi bila kujua ni nini kinaongelewa. Sometimes, it's good to be just be a spectator
 
Kakasirika tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Achana na hawa vilaza. I asked one of them tufanye battle ya 5-star hotels kati ya Nairobi na Dar but they are already posting gurlest houses za Arusha na Mwanza. How do you deal with such minds? Si unawaacha tu wajifurahishe?
Sawa we start the five start battle over I have already collected enough pictures
 
Back
Top Bottom