Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let the hotel battle end here we tuingie malls sasa wadau
Mmepigwa mpaka mmeomba msaada toka uchina

Screenshot_20210704-190440.png
 
Hiyo umasikini unaongelea ilipimwa kwa kiwango cha dola tatu kwa siku na ndio tukapatikana watu 20.8m. Nyinyi kipimo chenu ni cha dola moja kwa siku na ndio mko watu 28m. Jiulize hali ingekuwaje kama mngepimwa kwa kiwango cha dola tatu kwa siku kama sisi. Vitu zingine ni kutumia tu akili, sio kutoa povu na kujifanya hamnazo!
Yani kenya ina umaskini kuliko zimbabwe hio GDP ushuzi kazi yake nn ??? 🤣🤣🤣 au inamilikiwa na watu wako ulaya huko
 
Back
Top Bottom