Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hotel Gran Melia, Arusha Tanzania
Screenshot_20210704-090547.jpg
Screenshot_20210704-090733.jpg
Screenshot_20210704-090748.jpg
Screenshot_20210704-090804.jpg
Screenshot_20210704-090815.jpg
Screenshot_20210704-090617.jpg
Screenshot_20210704-090607.jpg
Screenshot_20210704-090720.jpg
Screenshot_20210704-090712.jpg
Screenshot_20210704-090647.jpg
Screenshot_20210704-090630.jpg
Screenshot_20210704-090702.jpg
Screenshot_20210704-090909.jpg
Screenshot_20210704-090856.jpg
Screenshot_20210704-090839.jpg
 
Ubora kwenu ndo huwa hamzingatii kabisa ndio maana mnaua raia kwa vitu low quality, hebu ona hili shimo linavyotia shaka, alafu road yenyewe low quality pia not marked, hata kwa bahati mby sipiti hapa nisije fukiwa na hili shimo View attachment 1839486
Weka yenyu yenye haitii shaka nje ya Dar nifunge account!😂😂😂😂ni wivu inakutesa, inabidi ukurupuke kwa maumivu! 😂😂😂Weka hapa from Tz, fukara nation tuone nje ya Dar any road to that magnitude.., ata render tu..,
 
Mzee hapa tunataka utupatie picha za hotels maneno ya taarabu waachie wanawake.
Wewe unaweka kamoja all angles, hoteli moja, not even a 5star, just a stupid building, na kiswahili mingi., uwache hio picha yako moja ijitetee.., 😂😂😂😂Mko ovyo, ni kapicha kamoja na maneno millioni ili ku boost, useless 😂😂😂😂
 
Weka yenyu yenye haitii shaka nje ya Dar nifunge account!😂😂😂😂ni wivu inakutesa, inabidi ukurupuke kwa maumivu! 😂😂😂Weka hapa from Tz, fukara nation tuone nje ya Dar any road to that magnitude.., ata render tu..,
Maneno mengi mbona Mzee. Leta hotels zenyu. Hotels hamuiwezi TZ kijana.
 
Wewe unaweka kamoja all angles, hoteli moja, not even a 5star, just a stupid building, na kiswahili mingi., uwache hio picha yako moja ijitetee.., Mko ovyo, ni kapicha kamoja na maneno millioni ili ku boost, useless
Utafika tu na utaona kilichomkuta mwenzio mpaka kakimbia, nenda taratibu
 
Wewe unaweka kamoja all angles, hoteli moja, not even a 5star, just a stupid building, na kiswahili mingi., uwache hio picha yako moja ijitetee.., 😂😂😂😂Mko ovyo, ni kapicha kamoja na maneno millioni ili ku boost, useless 😂😂😂😂
Wewe umeweka zero hotel. 🤣 🤣🤣.
Hakuna hotel kama hii EAST and CENTRAL AFRICA
1625379948302.png
 
sasa huyu kilaza anaongea nini hapa.. wee unajua kenya vizuri wewe.. a leading tourism hub!
hii battle ata wacha niwaachie new members hapa wachangamke
Cheza nao vile paka hucheza na panya anapomshika., anamwachia nafasi akimbie, kisha anamrukia, lakini hamkuli kwanza.., anacheza cheza na yeye.., panya anadhani ako nafuu.., 😂😂😂😂 Tanzania panya!
 
Tutamrudisha kwenye line. Leo tunaongelea Hotels. Coco reborn aka Colloh-Mzii, leo ni issue ya hotels.

Huu uzi nikisema umejaa watoto mnakataa. Sina time ya kutafuta picha online nikileta hapa. Leteni data kuhusu bed capacity, number of hotels etc siwezi participate katika utoto nina shughli za maana hii jumapili.
 
Utafika tu na utaona kilichomkuta mwenzio mpaka kakimbia, nenda taratibu
I don't submit to your ignorance and childish stupidity.., Kiswahili mingi without substance 😂😂, am here enjoying as I see you guys exposing your desperation and low self esteem mixed with inferiority complex!!😂😂😂😂😂😂., mnajikaza kwa kuhema sana😂😂😂😂 jitekenye ukicheka mimi ni raha tele.., Tanzania mume ianika wazi wazi.., this is a repetition tu, tunawazungusha tu ili kichangamsha uzi, otherwise u are finished kabisaa, yaani ni marudio tu.., mmechoka kishenzi!
 
Kubattle na watanzania ni kama kupigana na matope sababu mwishoe wewe ndo utachafuka. Sasa tukianza kupost hoteli za kenya huu uzi utakosa mtiririko.
Kabisaa, kidogo wataharia uzi., ama kuikojolea na vijisababu uchwara., wanashindwa wazi wazi.😂😂😂poor losers like Trump.,
 
Back
Top Bottom