Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siwezi participate katika utoto, hoteli ni mingi sana kenya.
mwana kulifind mwana kuliget we endelea kuumia tuu maana hamna namna sasa!

jana tuu apo
20210704_101606.jpg
20210704_101636.jpg
20210704_101708.jpg
20210704_101725.jpg
20210704_101653.jpg
20210704_101738.jpg
20210704_101752.jpg
 
Umesahau pia ni mbana pua lakini ana fans wengi kuliko msanii yoyote africa mashariki,pia domo ana mkwanja kuliko kali,kali masikini...halafu huku kwetu kali ni underground..
Hehe kali is the best rapper in africa yeye ndo alishinda that award watanzania hawaskizi hip hop ama rapa ama genge kazi ni kuskiza tu love songs kama mashoga... mtajulia wapi kali na sarkode or ice prince
 
Uzi umewasaidia sana huu, mlidhani ni mama zenu pekee ndio wanajua kupika
Ulipata msemo hapa sasa unatumia😂😂😂😂., exactly your reasonings 😂😂😂., "my mother is the best cook" reasoninh ndio zenyu😂😂😂, sisi nikuwaletea facts, kazi yenyu inakua vijisababu uchwara na kulia lia na Kibera ili kujiliwaza 😂😂😂., kisa mmeumbuliwa na mmekosa jibu😂., tunawajua kikamilifu, wanyonge siku zote😂..,
 
Back
Top Bottom