Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
Is that thing (cross) Tzs call three level located in a town, city or rural area??
mfumue tu,,,
Wekeni kwenye kamusi sasa ili iwe sawa, hiyo color ukiitafuta kwenye dictionary unaipata, pia colour unaipata and both have the same meaning, haya tuje huku sasaMna utoto sana Watanzania. Ni sawia na Mmarekani kumueleza Muingereza kwamba ni color sio colour. Wote wapo sawa tu. Hata kifaransa kina utofauti kulingana na eneo linalozungumzwa. Mna ujinga sana







Hii vita ya airports huiwezi acha kabisa utaumia.JKIA Nairobi
View attachment 1826959
JKIA is under construction as we speak. construction will be completed this year
View attachment 1826936
The interiors
View attachment 1826938
Terminal 1B and 1C under construction
View attachment 1826940
Someone talked of Isiolo Airport. Construction of cargo shades have started
View attachment 1826929
Eldoret Airport
View attachment 1826931
Kisumu Airport
View attachment 1826932
Utaumia weka mbali na watoto utaumia hii vita ya airports huiwezi.Moi Airport Mombasa
View attachment 1826933
Wenye lugha yao sioWacha tuwaachie wenyewe lugha yao pendwa. Tubaki na Sheng sisi...![]()


Ongeza huu uchafu hapo"Black mamba" na wauzaji khawaha/Alqasus, CBD ya Bongo!
View attachment 1825898
View attachment 1825899



You are wasting your time. These duncies are a lost case.Mna utoto sana Watanzania. Ni sawia na Mmarekani kumueleza Muingereza kwamba ni color sio colour. Wote wapo sawa tu. Hata kifaransa kina utofauti kulingana na eneo linalozungumzwa. Mna ujinga sana
Jamaa kasema kingereza cha mareakani kiko sawa na kile na cha uingereza, yani nilicheka sana..kisha kanimaliza na pale aliposema tofauti ni matamshi tu hapo ndio nikajua km jamaa mtupuMna utoto sana Watanzania. Ni sawia na Mmarekani kumueleza Muingereza kwamba ni color sio colour. Wote wapo sawa tu. Hata kifaransa kina utofauti kulingana na eneo linalozungumzwa. Mna ujinga sana
Hehehe!!usinifundishe kuongea kiswahili chetuWe mpuuzi sio swala ni suala, kwanini unarudia makosa yale yale unayoelekezwa usifanye?


Uchafu wa kimataifa


Umeanza kujitoa ufahamu 😆 😆 😆 hiyo centre road inaanza kama ground level lakini inazamishwa chini ikifika kwa interchange, kama hii iko netherlands ambayo ni three level👇👇👇Hii ni ground level au under ground mumechinmba tuanzie hapo kwangu hutoki wewe 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1826885