Ndio kujifariji kuwa hampo peke yenu au [emoji23][emoji23][emoji23]ata joburg kuna, Hilbrow na Alexandra.
na cape town kuna, Khayelitsha View attachment 1825298
[emoji115]hapa ni johannesburg
Ndio kujifariji kuwa hampo peke yenu au [emoji23][emoji23][emoji23]ata joburg kuna, Hilbrow na Alexandra.
na cape town kuna, Khayelitsha View attachment 1825298
[emoji115]hapa ni johannesburg
Hiyo itakuwa Mchuchuma iron ore project and bagamoyo portsomething great is on the way.. bet it be some cash for Makutupora-Isaka SGR line
wachana sio kiswahili, pia swara sio kiswahili. sijui kwa nini hampendi kuambiana ukweli mtu hakikosea. arrogance ya kipuuzi . kakosea ni kawaida accept it then move forward
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wahurumieni tu kwa sasakwa hiyo mngekua na fly over ya ubungo mngesema interchange with brt highway. kweli mkunya ni mkunya tu
noma sana mzee
Mzee wa kucheda umepata WIFI!? Karibu tukusulubu.Rudi shule ujifunze Kiswahili falamangaa.
Hahaha!!falamanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rudi shule ujifunze Kiswahili falamangaa.
Mzee hapa tunaongeleaHahaha!!falamanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jama si umemuua kabisa hyo
Ukweli usemwe kiingereza kilikuja na wenyewe, sio chetu, hilo tunakubali. Ila hicho kiswahili mnachokiita chenyu na bado mnapuyanga kama kawaida, vipi tena? 😂 😂 😂Lugha ya Malkia hawaiwezi ila wanalazimisha tuu. Lakini labda alivyosema effluent huenda alimaanisha uchafu wa kibera na slum zingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha, watoto wadogo wanaoanza kuongea KE ndio husema swala, 🤣🤣🤣🤣 yaani waliiga kwa watoto hiyo 'swala' 😅Kiswahili cha kitoto hicho, hku "swala" wanasema wale watoto ambao wanajifunza kuongea[emoji1787][emoji1787]
Jamaa wanashida sana, kuna wale wa R na L alafu pia kuna wengine kila neno wanaanza na "H"
Kiswahili chetu sio lazima kifanane ni kiswahili chenu mbaya. Huku Kenya mnyama huyo anaitwa Swara. End of story. Full stop.
komora096 wachana na hawa wajinga. Unapoteza muda wako bure. Hata kiingereza cha marekani hakifanani na cha Uingereza. Hatutalazimishwa kutumia kiswahili chao kibovu. Sisi tuna kiswahili chetu.
Jamaa wanapingana mpka na facts[emoji1787][emoji1787]
Kuna moja nilileta hapa ina mpka bendera yao lkn bado hawataki..
Matatizo ya R na L hawa majamaa yanawaumbua tu kila siku
😂😂😂 Nacheka sana nikifkiria huu upuuzi mnaoongea, by the way kama kuna yeyote kati ya ninyi wawili anajiona anajua kiswahili, basi niingie nae kwenye mashindano mimi na yeye, nitauliza maswali yangu machache tu, kutumia kamusi, google n.k rukhsa.. msipotezee watu mda wao kwa vitu vidogo, mchongo nimeuhamishia kwanguWanajiona kwamba wao waliunda kiswahili kumbe kiswahili kilikuja na waarabu.
Kwani ndege pia nazo zaland huko 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣isiolo international airport
View attachment 1826423
Vs
Magufuli Bus Terminal
View attachment 1826425View attachment 1826426
Skuizi unaogopa kuniquote, usiogope siumi watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wahurumieni tu kwa sasa
Mzee tunaongelea battle Nairobi vs Dar es salaam. Vimeisha vya kuonesha tuwasaidie!?Ukweli usemwe kiingereza kilikuja na wenyewe, sio chetu, hilo tunakubali. Ila hicho kiswahili mnachokiita chenyu na bado mnapuyanga kama kawaida, vipi tena? 😂 😂 😂
Jamani jamani, we fala unajua lahaja la usanifishaji wa lugha ya kiswahili.? Unajua kwamba kiswahili sio pidgin wala creole bali ni lugha sanifu.? Je unaijua lahaja iliyotumika kusanifisha lugha ya kiswahili.? KHAA.!! HAYA MAAJABU YA MUSA, yani nyinyi wapuuzi leo hii mtufundishe sisi kiswahili.? 😂😂😂Umenikumbusha, watoto wadogo wanaoanza kuongea KE ndio husema swala, 🤣🤣🤣🤣 yaani waliiga kwa watoto hiyo 'swala' 😅