komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Cabro mombasa ndio km zimeanza kule aisee, jamaa eti anatuonyesha lami zao za kupaka uswazi ndio eti analinganisha na cabroUmepungika na cabro?Old Town huko tena


Cabro mombasa ndio km zimeanza kule aisee, jamaa eti anatuonyesha lami zao za kupaka uswazi ndio eti analinganisha na cabroUmepungika na cabro?Old Town huko tena


Boti umezisahau? Ungekuwa na akili kidogo tu, ungejua ni Island so sio kubwa, mijengo ya kiarabu ilijengwa karibu karibu, ndio patoshe majumba mengi, so bike, bicycle, boat, punda, ndio usafiri. Na bado ni heritage site so hatuwezi kupavunja eti sababu kuweka barabara, huo utakuwa utopolo! 🤣 🤣 🤣Alaf usafiri punda 🤣🤣🤣🤣
Kwani zanzibar hakuna punda na canter 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇Alaf usafiri punda 🤣🤣🤣🤣
ukanda wa ziwa victoria kuna battle kubwa sana kibiashara, Tanzania kuna uwekezaji mwanza na kenya kuna uwezekaji sijui ndo wanaita kisumu
Zanznibar kw tz ni cityKwani zanzibar hakuna punda na canter![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 1818242View attachment 1818244View attachment 1818245





Wanaharakati wanakuambia "kwenye msafara wa mama lile gari la machumachuma halipo tena pia wale jamaa wanaovaa sare za mabaka baka hawamlindi mama tena"
Na kuna watu wameshikiwa akili na wale wanaharakatiView attachment 1818302
Hizi ftbl club za Kenya, hazina hela nyingi zakujionyesha lakini mkiingia nazo uwanjani mnasulubishwa kama kawa, yaani hata sio nyie tu hata club zingine zinazo participate CECAFA. Na bado CAF walitia history pia, wakati huo! Sasa nyie bakini na hela yenyu. 😂Nioneshe hio bus nyingine 🤣🤣👇👇 manake leo nataka kucheka vzr
View attachment 1818226
Mbona kama unabadilisha mada 🤣🤣 au umeona moto mbeleWacha yeye, wengine wanacheza nchi zenye hela nyingi kuliko Tz. So sioni kitu hapo, ata alikosea, angeenda sign hata Uchina, hela iongezeke! 🤣 🤣 🤣 🤣
Tatizo pesa muliopata afcon imefanya nn kwenye timu au imeeenda kwa wale wasiojulikana 🤣🤣🤣🤣Bus ni zenyu, Rekodi za dunia ni zetu. Hii dunia sijui ni nani halitambui hilo jamani! 🇰🇪 🔥 😂 😂 😂 😂
Tuoneshe street za new town bila kupost main road ukipata zenye ile hadhi ya mwanza nitag nifunge acc mapema 🤣🤣🤣🤣🤣Umepungika na cabro? 😂 Old Town huko tena
Naona umepost culture ya ushagoo zanzibar wao wanatumia magari lakini lamu mpaka kiyama usafiri wao ni punda 🤣🤣🤣Kwani zanzibar hakuna punda na canter 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 View attachment 1818242View attachment 1818244View attachment 1818245
Hazina hela nyingi za kujionesha haya oneni maneno hayo 🤣🤣🤣🤣 team lazma iwe na uwezo wakujiendeleza kimaendeleo huwezi kua na team kubwa kenya haina hata banda la ofisi alaf useme hamujioneshi acha utoto weweHizi ftbl club za Kenya, hazina hela nyingi zakujionyesha lakini mkiingia nazo uwanjani mnasulubishwa kama kawa, yaani hata sio nyie tu hata club zingine zinazo participate CECAFA. Na bado CAF walitia history pia, wakati huo! Sasa nyie bakini na hela yenyu. 😂