Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,226
safii sana huyu jamaa pamoja na kwamba anakandiwa ila anafanya vizuri na anastahili kubaki!
Imeandikwa, Tanzania na si Tanzania bara. Always zilikua timu 4 - mbili bara, mbili visiwani.
safii sana huyu jamaa pamoja na kwamba anakandiwa ila anafanya vizuri na anastahili kubaki!
zote 4 za VPLImeandikwa, Tanzania na si Tanzania bara. Always zilikua timu 4 - mbili bara, mbili visiwani.
until when will i ever tell you tanzanians are xenophobic. you don't hear in retaliation, MP Njagua hits hard on illegal immigrants from tanzania and china, stealing business opportunities from kenyans in kamukunji/gikombaa market
Moumbavu bibi yako kijijini, msituletee upumbavu wenu wa kushindwa kutamka baadhi ya herufi katika lugha yetu pendwa ya kiswahili..Mpumbavu usituharibie kiswahili
View attachment 1825574
Sio hio tu ziko elf 15 zote zinakwenda chini mwende ni huo huo
20floors inajengwa hvo 😂😂😂😂In Mombasa I have counted over 15 Towers under construction having over 20 floors in height.
View attachment 1825555View attachment 1825556
😀😀😀😀😀😀 kazi kweli kweliNairobiWalker When I'm telling you that 50+% of Nairobi buildings are not fit for human habitation you should understand.
Panga matofali kwenda juu flyover ila mchina sijui kama ataingia mbinguni 😂😂😂😂![]()
Daraja chini ya ujenzi laporomoka huko Kenya
Daraja "flyover" chini ya ujenzi huko Kangemi, Nairobi Kenya limeporomoka mida hii. Watu wanne wameokolewa wakiwa na maumivu makali huku wengine wakihofiwa kufunikwa na kifusi. Chanzo: kenyans.co.kewww.jamiiforums.com
Hawafanyagi soil test kabla ya kuanza mradi?Hii ndio kitu kenha inawaambia wakenya 👇👇
View attachment 1825805
Panga matofali kwenda juu flyover ila mchina sijui kwann anafanya haya mambo kenya
Kwao ukiwa na kitu kidogo hata juu ya mawingu unaeza jenga 😆😆😆Hawafanyagi soil test kabla ya kuanza mradi?