Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni bank of tanzania hakuna alisema ni affordable housing ukipa sehemu mtu kasema nitag mm 😆😆😆😆 unaanza kutafuta njia yakutokea
Tulia! 💉💉💉 iingie, wacha serikali ijijengee bhana! 🤣 🤣 🤣
 
Mwendo ni ule ule [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116][emoji116]

Inabidi tuharakishe sana kabla ya world economic depression nyingne USD nayo kama hela nyingine ina inaflation ..Gold Is a good reserve asset to have
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] team kubwa kenya hiii nioneshe office building ya gor mahia ukipata nitag nifunge acc View attachment 1818205View attachment 1818206
Hii hutaki[emoji1787][emoji1787]
Uhuru-AFC-Bus-1-696x391.jpg
images.jpeg-32.jpg
 
guys, tumen hizi kwa accounts za serikali.. if una connection nao

Kuna umuhimu sana ipo siku watu wata-hack zile accounts na kuzipata itakuwa shida! Msigwa account yake private iko verified ila ya Msemaji wa serikali haipo verified mi huwa nashangaa! Na ni mhusika mkuu wa habari kwa serikali nzima!
 
Nchi iliyojaa wazembe
 
pengine wanaorun wengi hawajui process.. pls watumieni hizo link kwa inbox zao.. nimeanza na TTCL na hio ya msemaji.. maana niliwah kuwasialana nao
IMG_1623671956.414313.jpg
IMG_1623671983.213179.jpg
 
[emoji23][emoji23]tunakuja kuja.. nimeanza kuona tunaanza kuongoza follow accounts za serikali .. shida ni verifications tu
Mpka wahuni wana l account zao ziko verified mzee[emoji1787][emoji1787]twitter ndio accounts mhimu kw serekali zote duniani, lkn tz unakuta mpka account za wizara hazina verification aisee..
Serekali ya wazembe, msijali lkn mama atawakomboa
 
Back
Top Bottom