Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalieni umbali wa westalnd na CBD hahahhaa ni just 3km hawa ndio wanashindana na dar 🤣🤣🤣🤣🤣
2F901C19-2E4A-40A3-B3D4-2D4C30AC7D97.jpeg
 
Usijali, najua mlipigana Kagera, wajaribuni sahi! 🤣 🤣 🤣 🤣
Tanzania imesaidi nchi nyingi sana kwenye harakati za uhuru ikiwemo south africa, angola, zimbabwe, rwanda and burundi,congo, malawi, mozambique, uganda etc 😃😃😃 hii nchi inahistoria kubwa
 
Kuingia afcon ujue ni pesa tu 😄😄 alaf mpira tanzania ndio biashara yenye pesa nyingi kuliko nchi zote za east africa combined na derby ya simba na yanga ni derby kubwa ya tatu africa take it or leave it
I'll leave it!... Sipendi chai, mkimbiaji mmoja wa KE, anaweza mlisha mchezaji wa mpira Tz mwaka mmoja bila shida! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sasa mbn unatuletea Cheap roads [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Barabara za mitaani hizi hapa, zipo Dar kila pembe ya mtaa mpk uani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1818015View attachment 1818017View attachment 1818018View attachment 1818020View attachment 1818024View attachment 1818026
Umekasirika mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]emu rudia tena, eti nini vile..
We kubali tu hamna ubavu huo, mombasa varabara za mitaani nyingi ziko hvo
FB_IMG_16236179162727788.jpg
FB_IMG_16236167827298389.jpg
 
I'll leave it!... Sipendi chai, mkimbiaji mmoja wa KE, anaweza mlisha mchezaji wa mpira Tz mwaka mmoja bila shida! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kuingia afcon kuna pesa sasa nioneshe hio pesa gor mahia ilipata alaf ikafanya jambo kubwa kwenye team ukipata nitag 🤣🤣
 
Back
Top Bottom