Si tulikubaliana probox tanzania zitakua zinabeba majani na mavi ya ngombe, sasa vipi tena manake naona jamaa kaenda nayo mtoko sehemu ya hadhi kidogoView attachment 1818580




Ndio nashangaa mzee
Mambo mengine kuacha yapite sema hizi gari tz ni za kutafuta sanaNdio nashangaa mzee
hii picha ya treni nyuma kwenye uwekaji jiwe ka msingi Mwanza-Isaka inaashiria nn? ni downloaded pic au ndo tutarajie kama hii?
View attachment 1818563
ya fundi hiyo , technician 😀 ina tools, angalia ngazi juu.Si tulikubaliana probox tanzania zitakua zinabeba majani na mavi ya ngombe, sasa vipi tena manake naona jamaa kaenda nayo mtoko sehemu ya hadhi kidogoView attachment 1818580
Hyo si ngazi mzeeya fundi hiyo , technician 😀 ina tools, angalia ngazi juu.

we utajifundisha mimi kuhusu probox..hyo ni urembo kaweka mzeeMi sina tatizo na mtu kumiliki hzo gari, lkn kuna vibwengo wengine wanasema hko ni za kubebea mavi ya ngombeMambo mengine kuacha yapite sema hizi gari tz ni za kutafuta sana


🤣🤣🤣🤣 Huyo atakua mange anafanya delivery kidogo usijichanganye🤣🤣🤣Si tulikubaliana probox tanzania zitakua zinabeba majani na mavi ya ngombe, sasa vipi tena manake naona jamaa kaenda nayo mtoko sehemu ya hadhi kidogoView attachment 1818580
Moja wapo za project ambazo ni important Sana Tanzania ni hapa👏👏👏👏 good things take time Nina Imani it will be a successMwanza - Isaka pia ni Fedha za ndani, mnaona kwenye bango kuna BAKHRESA GROUP hapo kushoto ? sio katoa mtonyo au?
View attachment 1818613
RIP,,and shine in your way
Mwanza isaka SGR👇👇👇👇
RIP,,and shine on your way