Ben mwanantala sijui yupo wapi Siku hizi
not sure, nadhan anaelekea bbc swahili
Ben mwanantala sijui yupo wapi Siku hizi
mbona unajihamihami? Hutaki jirani apate pa kutokea? 🤣 🤣 🤣 ☝️
yupo star TV kipindi cha Mimi ni Mzalendo!not sure, nadhan anaelekea bbc swahili
OK,karudi nyumbani kwani awali alikuwa RFAyupo star TV kipindi cha Mimi ni Mzalendo!
Dhuyu ndo tajir pekee wa kenya ninaemjua.. nadhan yeye ndo alikuwa richest man in kenya.. polen sana
One of the investors wa 2 rivers msiba mkubwa kwa wakenya at large pole kwa majirani.huyu ndo tajir pekee wa kenya ninaemjua.. nadhan yeye ndo alikuwa richest man in kenya.. polen sana
D
One of the investors wa 2 rivers msiba mkubwa kwa wakenya at large pole kwa majirani.
not sure, nadhan anaelekea bbc swahili
Yaani Jamaa alikua na shares sehemu nyingi tu Sijui kama haco industries bado ipo ,bic pen,soft,miadi etc ndo walikua main suppliers.nimeona comments nying zinasema alikuwa na shares kenya airways
mbona watu wanafurahia kufa kwake? i see a lot of mocks upon his death! what did he do?
kama ya kenya[emoji23][emoji23]
Jamaa umeanza kua mswahili sana[emoji23][emoji23]Si tulikubaliana probox tanzania zitakua zinabeba majani na mavi ya ngombe, sasa vipi tena manake naona jamaa kaenda nayo mtoko sehemu ya hadhi kidogoView attachment 1818580
Ila Nigeria wana hizi pia kama treni za abiria! Kwahiyo wako juu kwa Kenya!
![]()
![]()
Unajua hii mizee inaona simu kama vile ni luxury! Kutoza simu kodi mpya ni kukosa maarifa wanatakiwa watafute vyanzo vipya vya mapato kwa mfano utoroshaji wa madini ya vito ukizuiwa hiyo hela anayotaja inakusanywa kirahisi! Huduma za mawasiliano mfano upande wa data kunatakiwa kuwa bei ya chee ili kuchochea maendeleo ya teknologia! apps, bootcamps, startups zote zinategemea bei chee kwenye upande wa data!Huyu mwambaView attachment 1818698 idea yake controversial 🙄
Yani unaangalia sura kumbe[emoji1787][emoji1787]nenda sasa ukaangalie na uwezo wa hzo treni mbili ndio utajua kwann nigeria kaagiza D12 nyingiIla Nigeria wana hizi pia kama treni za abiria! Kwahiyo wako juu kwa Kenya!
![]()
![]()
Kweli Sana mkuu nimejikuta nacheka na idea alotoa ambayo sio favourable kwetu Sisi consumers kama ulivo tangulia kusema there are so many sectors that the government can use as a source of income hapa Musa alitoa point zero.Unajua hii mizee inaona simu kama vile ni luxury! Kutoza simu kodi mpya ni kukosa maarifa wanatakiwa watafute vyanzo vipya vya mapato kwa mfano utoroshaji wa madini ya vito ukizuiwa hiyo hela anayotaja inakusanywa kirahisi! Huduma za mawasiliano mfano upande wa data kunatakiwa kuwa bei ya chee ili kuchochea maendeleo ya teknologia! apps, bootcamps, startups zote zinategemea bei chee kwenye upande wa data!