Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Duh, umesevu, nlkuwa nakuangushia majanga yenyu! 🤣 🤣 🤣 🤣Ufisadi africa upo ila unazidiana tanzania upo lakini ni mdogo sana kulinganisha na kenya au nigeria ambao ni magwiji wa ufisadi na inatumbulika dunia nzima 🤣🤣🤣🤣 kitu cha 1m mkenya anakwambia 1b