Bigfoot has been spotted in Bongoland! 🤣 🤣 🤣
Sasa si hela mnazo nyinyi, nimekwambia hatuna hela ila tunasulubishaga vitimu vya watu vyenye mihela!Hazina hela nyingi za kujionesha haya oneni maneno hayo 🤣🤣🤣🤣 team lazma iwe na uwezo wakujiendeleza kimaendeleo huwezi kua na team kubwa kenya haina hata banda la ofisi alaf useme hamujioneshi acha utoto wewe
Team kubwa kama gor mahia haina hata banda la choo iwe ofisi serious🤣🤣🤣Sasa si hela mnazo nyinyi, nimekwambia hatuna hela ila tunasulubishaga vitimu vya watu vyenye mihela!
Vumilia utazoea tu👇👇👇👇mwanzaBigfoot has been spotted in Bongoland! 🤣 🤣 🤣
Ujinga wako umepitiliza, sasa nenda ukawajenge hizo bara bara juu ya majumba yao huko Lamu. Hivi unajua kuna nchi wacha hata visiwa, havina Transport system zingine sababu kuu kuwa ziko ndogo sana. Changamka wewe! 🤣 🤣 🤣Naona umepost culture ya ushagoo zanzibar wao wanatumia magari lakini lamu mpaka kiyama usafiri wao ni punda 🤣🤣🤣
Usinikasirikie mm 🤣🤣 hakuna asiejua kama punda ndio usafiri mkuu lamu hilo liko wazi duniani
Si mlisema ni affordable houses, kumbe majengo ya serikali? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 💉💉💉Vumilia utazoea tu👇👇👇👇mwanza
View attachment 1818429View attachment 1818430View attachment 1818431
🤣🤣🤣🤣 sasa unanikasirikia mm wakat lami ya kwanza kujengwa lamu ilikua mwaka toka dunia imeumbwa au ndio ile ikifanyika kenya sio neno ikifanyika tanzania ni tatizoUjinga wako umepitiliza, sasa nenda ukawajenge hizo bara bara juu ya majumba yao huko Lamu. Hivi unajua kuna nchi wacha hata visiwa, havina Transport system zingine sababu kuu kuwa ziko ndogo sana. Changamka wewe! 🤣 🤣 🤣
CECAFA na CAF 😬😬😬Team kubwa kama gor mahia haina hata banda la choo iwe ofisi serious🤣🤣🤣
Ni bank of tanzania hakuna alisema ni affordable housing ukipa sehemu mtu kasema nitag mm 😆😆😆😆 unaanza kutafuta njia yakutokeaSi mlisema ni affordable houses, kumbe majengo ya serikali? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 💉💉💉
Gor mahia 🤣🤣🤣🤣 kicheko chwa mbwa kokoCECAFA na CAF 😬😬😬
Baki hapo! 💉💉💉🤣 Vipi lile jengo la Zenji lililoporomoka, mshalijenga tena?🤣🤣🤣🤣 sasa unanikasirikia mm wakat lami ya kwanza kujengwa lamu ilikua mwaka toka dunia imeumbwa au ndio ile ikifanyika kenya sio neno ikifanyika tanzania ni tatizo
Lamu pamoja kua na bandar kwa sasa bado maisha ni duni sana tena sana na bado punda ndio usafiri wao mkubwa mpaka dunia itasmama tena
Ila tunasulubishaga tuwezavyo! 🤣 🤣 🤣Team kubwa kama gor mahia haina hata banda la choo iwe ofisi serious🤣🤣🤣