Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania's poverty headcount ratio at national poverty line (TZS 49,320 per month per adult equivalent, which is equal to $1.35 per person per day in purchasing-power-parity terms) has declined modestly over time, falling from 28.2% of population in 2012 to 26.1 in 2019, Tanzania’s rapid population growth has caused the number of people living below the national poverty line to steadily increase. 👇
Una GDP ya 100b alaf una umaskini mbaya zaidi kuliko zimbabwe hio GDP munayosifu hapa iko wapi ??😁😁😁 mukiambiwa nyinyi failed state je munaonewa ???

 
Umesahau tulikuwa kundi moja Afcon 2019 na tukawatandika kichapo cha mbwa? Wewe umechanganyikiwa usiku na mchana. Ni mapema sana kuchanginyikiwa but let me refresh your memory a little bit
View attachment 1816950
Alaf mukafika wapi na sisi tukafika wapi 🤣🤣🤣🤣🤣 mpira sio fani yenu achenani nayo kina onyango wako huku wanaenjoy mishahara hawajawah kupata toka wazaliwe
 
Sasa hizo slums na hizi dreamhouses zenu wapi tofauti? View attachment 1816966

Linganisha hiyo na hata hii picha ya Huruma slum 😂 😂 View attachment 1816967

Nakuambiaga some of the places categorized as slums here in nairobi ziko na unafuu tena sana than those Swahili shanties you call dreamhouses. Jana nilikupa mfano na Kariobangi na Kawangware slums ukaanza kelele zako za kawaida mara estate, mara zinamilikiwa na politicians blah blah blah!
Kwani mm nimepost huruma slum au unataka nipost na hio pia 🤣🤣🤣😂😂👇👇👇👇 asante kwa kunisaidia kuitaja, mzungu hadanganyi daima👇

 
Foreign Private developers as usual, serikali yenu fukara sana haiwezi provide decent houses kwa watumishi na ninyi Mpo wa chafu kama nguruwe Hamuwezi kukaa kwenye nyumba yenye hadhi
Wanakuonesha office building wanakwambia nyumba za polisi nimecheka mpaka basi 🤣
 
Na hapo sijaanza zenye ziko proposed, under construction na topped out na on hold ndani ya jiji la Nairobi. Msa sijafika, huko pia kuna vyombo vinakuja vikali tu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 💉 💉 💉 💉 💉👇 👇 👇

Britam Tower 200.1 m (656 ft) 31 floors.
GTC Office tower 184 m (604 ft) 43 floors.
UAP Old Mutual Tower 163 m (535 ft) 33 floors.
GTC Hotel Tower 143 m (469 ft) 35 floors.
Times Tower 140 m (460 ft) 38 floors.
Prism Tower 133 m (436 ft) 34 floors.
Le'Mac 126 m (413 ft) 24 floors.
Teleposta Towers 120 m (390 ft) 27 floors.
Kenya Commercial Bank Plaza 109.1 m (358 ft) 24 floors.
Kenyatta International Convention Centre 105.2 m (345 ft) 32 floors.
Social Security House 102.7 m (337 ft) 28 floors.
I&M Bank Tower 99.1 m (325 ft) 18 floors.
Moi University Pension Scheme 89.69 m (294.3 ft) 26 floors.
Sanlam Tower 88.2 m (289 ft) 19 floors.
Nyayo House 84.1 m (276 ft) 27 floors. Cooperative Bank House 83 m (272 ft) 25 floors.
Nation Centre 82.9 m (272 ft) 17 floors.
National Bank House 82 m (269 ft) 21 floors.
Rahimtulla Tower 80 m (260 ft) 22 floors.
Anniversary Towers 79.9 m (262 ft) 26 floors.
Lonrho House 79.9 m (262 ft) 22 floors.
Kizingo Tower 77.13 m (253.1 ft) 22 floors.
Reinsurance Plaza 77 m (253 ft) 20 floors.
AmBank House 74.6 m (245 ft) 25 floors.
Chandaria tower /University of Nairobi Towers 22 floors
Jaffery Complex 70.12 m (230.1 ft) 20 floors.
Uchumi House 71 m (233 ft) 21 floors.
ICEA Building 69.2 m (227 ft) 19 floors.
View Park Towers 68 m (223 ft) 20 floors.
International House 65.5 m (215 ft) 17 floors.
Delta Corner Tower 'A' 61 m (200 ft) 21 floors.
Delta Corner Tower 'B' 61 m (200 ft) 21 floors.
Mwalimu Towers 17 floors.
Britam 200m + mbara wa 60m 🤣🤣🤣
Uhehehhe eti times tower 38 wakat ni fupi kuliko KICC au nadanganya ??
Aliekudanganya GTC 43floors nani??
na aliekudanganya GTC hotel 35 ni nani??
 
Hiki ndicho nilikuwa nawaambia Wakunya, Kinachozalishwa hapa kwa siku thamani yake ni zaidi ya Mombasa port inapata kwa siku!



480 kg * $60000= $28,800,000 per day!

$28.8 mln per day!



BTW
The refinery is doubling capacity! Na kuna dhahabu nyingi inazalishwa zaidi ya hii!


CC: NairobiWalker Tony254 komora096 n Teargass

Hawatakujibu mark my words🤣🤣 haya ndio mambo wanauomchukia hayati magufuli
 
Siku Nairobi itapata concrete jungle km hii just tag meView attachment 1816992View attachment 1816993View attachment 1816994
Utatoka nne ya hiyo cbd yenu lini? Kila siku picha Ni zile zile za cbd. Hebu toka nne ya hiyo cbd yenu kidogo tu ulete kitu kama hii tuone
images(248).jpg
 
Back
Top Bottom