Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini inakuanga ngumu kwa waTz kutumia akili?..hii brt ya Tz ni hatari tupu,yani lazima uvuke barabara ndio uabiri basi
images-78.jpg
images-79.jpg

Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
 
Thika town has more industries than Mbeya but it's not even a city here in kenya
In atwolis voice, 'Ala alaaa alaaaaa!!!!!'
Mbeya?? Maybe Dar is a slum hakuna town yenye industry nyingi kuliko Thika including Mwanza.
I have been in both
 
stupid boy 😬😬Mbona unadanganya Wakenya,unajua huko Kenya Ndio Watz wengi tunatafuta Ajira,Naomba Tanzania tusifanye vitu zitawachafua Roho Wakenya,Tutaanza kukatwa katwa😭Wivu na Uchawi itatuua Watanzania

Kiswahili chako kibovu, na hii ni alama kuwa, wewe ni Mkenya na sio Mtanzania kama unavyojifanya.

Watanzania hawawezi tafuta kazi Kenya lwakua lugha ni changamoto kwa wengi.
 
These guys think having a city full of government buildings is progress. lol
Kule kwao hawajazoea, land ni ya serikali, eti ukinunua ukikosa kujenga after 5 years ikiwa bado dormant, itachukuliwa. That's fckd up, yaani nitoe pesa ninunue alafu ichukuliwe tena, no wonder wengi wanajenga utopolo ilimradi tu kiwanja kisiwe repossessed, yaani hupewi time na serikali. Duh, mateso hayo yao. Foreign investor ajenge skyscraper, alafu kiwanja cha wenyewe..
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kiswahili chako kibovu, na hii ni alama kuwa, wewe ni Mkenya na sio Mtanzania kama unavyojifanya.

Watanzania hawawezi tafuta kazi Kenya lwakua lugha ni changamoto kwa wengi.
Kumbafu Kwani wakenya hawaongei Kiswahili,Mulidanganywa Na Nani???????🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aibu hii
 
Kumbafu Kwani wakenya hawaongei Kiswahili,Mulidanganya Na Nani???????🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aibu hii

Wakenya wanaongea kiswahili kibovu kama unachoandika hapa. "Sisi tulipigana Vita za Kagera" "Mulidanganya".

I will leave it at that.

Have a good day.
 
Kiswahili chako kibovu, na hii ni alama kuwa, wewe ni Mkenya na sio Mtanzania kama unavyojifanya.

Watanzania hawawezi tafuta kazi Kenya lwakua lugha ni changamoto kwa wengi.
Mbona wabongo tunao wengi huku, mtaani kwetu niliacha wako kibao tu. Tangu nikilelewa wapo hadi sahi, wameoa, wamezaana na kusomesha huko huko.
 
Back
Top Bottom