Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani hajui kiswahili birthplace yake ni modern day kenya.
Wewe Komora kwa vile umezaliwa Kisauni Mombas angalau unajua kiswahili ila hzi mbwa coco nyingine za Kenya kiswahili ilikuwa mbofu mbofu sana. Hata hivyo hongera kwa kuwa na multiple JF IDs.
 
Hata jomo kunyata airstrip hapako hivi asee



FB_IMG_1623600069057.jpg
 
Leo yameshinda bhn, namna hiyo ndo inatakiwa, km tuna ligi bora basi tuoneshe kwa vitendo hata national team tuvichape hivi vinchi vidogovidogo mfano wa malawi, co tuko vizuri kwenye vilabu lkn national team vinchi vidogovidogo km Kenya vinatusumbua, huo ni upuuzi.
Screenshot_20210613-191834.jpg
 
Wakunya tuwe nao makini wanaiba sana picha za watu
Ni waongo sana, wanakesha wakipost picha za uongo, mfano mtu anakaza misuli ya mku..ndu akisema hapa ni Tz, hata ukimuelewesha hataki kuelewa, eti hapa ni Tz [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-738721651.jpg
 
Sasa mbona waMarekani wanataka kuja Bongo na sio huko kwao Knyaland
Kunyaland na slums zile akutake nani!bongo wamarekani wamejaa moro,kilimanjaro,arusha,dar ndio wa kumwaga,TZ peaceful country bro,hata hao wakunya wanaoleta unaa humu jf wanawish sana wangekua wabongo
 
Nicxie anachekesha sn wallahi, hii picha anaaminishwa ni ya Dar es salaam lkn mpiga picha ana claim ni Zanzibar lkn bado ni uongo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210613-195056.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliwauliza hawa wakakosa majibu...
Hapa hakuna kitu wataongopa, tukiwa bize tuna wazoom tu ila tukipata muda km hivi tunawa expose zen wanakaa kimya, hakuna mkunya ataongopa humu ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji205][emoji3517][emoji1664][emoji117][emoji529][emoji117][emoji2781][emoji706][emoji86][emoji87]
 
Sijui, chenye najua ni records tunazovunja huku, na dunia nzima inajua hilo, wacha hata nyinyi! 🤣 🤣 🤣 🤣
Kuingia afcon ujue ni pesa tu 😄😄 alaf mpira tanzania ndio biashara yenye pesa nyingi kuliko nchi zote za east africa combined na derby ya simba na yanga ni derby kubwa ya tatu africa take it or leave it
 
Hamjaacha kula albino, waoga wa kutupwa nyie! Majirani zenyu mmeogopa kutia mguu kuwasaidia, Congo ata ndio vituko, hehe... Njooni Somalia sasa mchinjwe kama kuku, Waganda wale wa Amin sio hawa wa sahi, wana bonge la experience hata wao, mkitoka sparr sahi, mnalizwa hadi kuche... 😂 😂 😂 😂 😂
Sasa ukiambiwa hamna vita mumepigana unakasirika nn?? Mambo ya albino na vita ni wapi na wapi ??😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom