The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Naona estates zenu hizi, maamaaee nyie muwe na estates quality km hz c dunia itaisha cku hyo hyo







Naona estates zenu hizi, maamaaee nyie muwe na estates quality km hz c dunia itaisha cku hyo hyo







Kweli kabisa hapa ughaibuni tena ni MALAWISehemu flani ughaibuni, sio Nai ata! 🤣
View attachment 1817493
Mkunya ni muongo sanaNaona estates zenu hizi, maamaaee nyie muwe na estates quality km hz c dunia itaisha cku hyo hyoView attachment 1817566
Asante kw kukwepa swali languStudy did not specify the which height of buildings are in danger
No bro QS, I'm not the one who did the study on the quality of fabrics of Nairobi buildings. Usije ukaniua bure nina watoto wadogo.Go to your National Construction Council (NCC), which you have the access, you'll see the report.
Kwa hiyo huruma uliyoweka hapo ndo ina unafuu...we kweli una uchizi,yaani ukiiangalia tu hiyo picha ya huruma unaweza kutoa machozi si sehemu ya kuishi binadamu..Sasa hizo slums na hizi dreamhouses zenu wapi tofauti? View attachment 1816966
Linganisha hiyo na hata hii picha ya Huruma slum 😂 😂 View attachment 1816967
Nakuambiaga some of the places categorized as slums here in nairobi ziko na unafuu tena sana than those Swahili shanties you call dreamhouses. Jana nilikupa mfano na Kariobangi na Kawangware slums ukaanza kelele zako za kawaida mara estate, mara zinamilikiwa na politicians blah blah blah!
Kiswahili chenyewe kinaonyesha wewe ni mkunya..stupid boy 😬😬Mbona unadanganya Wakenya,unajua huko Kenya Ndio Watz wengi tunatafuta Ajira,Naomba Tanzania tusifanye vitu zitawachafua Roho Wakenya,Tutaanza kukatwa katwa😭Wivu na Uchawi itatuua Watanzania
Dar iko very organized, si kama kunyaland ambapo kumejaa reckless and unskilled drivers.. Kama ulikuwa hujui dar kuvuka barabara si jambo gumu,madereva wakiona zebra tu wanasimamaKwanini inakuanga ngumu kwa waTz kutumia akili?..hii brt ya Tz ni hatari tupu,yani lazima uvuke barabara ndio uabiri basiView attachment 1817005View attachment 1817006
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Jamani njooni muone BRT...yaani wakenya mnachekesha!!!..Upande wa Kenya mambo ni tofauti sana....hakuna siku Kenya na Tz zitawekwa kwenye kikapu kimoja...yani ni kama bingu na ardhiView attachment 1817011View attachment 1817012
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Siyo kidogo wame-improve sana na kama tungekuwa tunatoa awards ya hii shule ya Kiswahili humu basi tungewapa diploma. Wengi sasa hvi wanaandika kiswahili kinachoeleweka tofauti na hapo zamani za kale. 😀 😀 😀 😀Mwanzoni wakunya wa humu walikuwa wanaongea kiswahili kichafu na chenye kukera ila nowadays wame improve kdg.
Ila wakunya kweli mataahira, yaani wameona hizi ni nyumba nzuri kabisa za kwenda kuiba picture ili kuja kubragg JF? 🤣🤣🤣
Nani hajui kiswahili birthplace yake ni modern day kenya.Siyo kidogo wame-improve sana na kama tungekuwa tunatoa awards ya hii shule ya Kiswahili humu basi tungewapa diploma. Wengi sasa hvi wanaandika kiswahili kinachoeleweka tofauti na hapo zamani za kale. 😀 😀 😀 😀
Wakunya tuwe nao makini wanaiba sana picha za watu
Asante kw kukwepa swali langu