The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Mwanzoni wakunya wa humu walikuwa wanaongea kiswahili kichafu na chenye kukera ila nowadays wame improve kdg.Halafu sasa afadhali angekua anajua kiswahili kabla ya kujifanya Mtanzania,hao mungiki wenzake kiswahili wanakijulia humu humu







