Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini inakuanga ngumu kwa waTz kutumia akili?..hii brt ya Tz ni hatari tupu,yani lazima uvuke barabara ndio uabiri basiView attachment 1817005View attachment 1817006

Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Vituo vya brt za tanzania azijajengwa hili watu wateseke kufuata usafiri na ndio maana vimewekwa karibu karibu hili mtu asitumie muda mrefu kwenda station sasa auwezi weka footbridge kila kituo ambako amna population kubwa ya watumiaji wa brt na uwezi sikia ajali za kipuuzi
 
Usiwe mpuuzi, una maanisha nini unaposema "wengi", wengi milion?

Ajira zenyewe Kenya zinatolewa kwa Ukabila, hizo ajira apewe Mtanzania?
Akili yako ndogo, hujasoma, huna hela, huna connection, yaani shida tupu alafu upate kazi tu. Unafikiri uko kwa 'uzi wa kula kimasihara' hapa??? 😂 😂 😂 Hii ni Afrika, ka hujasoma, at least uwe na akili ya biashara, ila ka huna vyote, endelea tu kunywa gongo na K-vant... 😂
 
Mimi mwenyewe marafiki wangu karibu wote wameajiriwa Kenya,Na Pesa NonoNono zinaingia kwenye Benki🤑Wakenya hawana Zarau na wivu Kama Tanzania

"Marafiki wangu wote" "
Pesa NonoNono zinaingia kwenye Benki"

Kiswahili sio lugha yako, jifunze ndio ujifanye Mtanzania.

Kama hamna wivu na dharau kwanini Wakikuyu wanawaongoza tangu uhuru? Kwanini mnauana wenyewe kwa wenyewe huko Kenya?
 
"Marafiki wangu wote" "
Pesa NonoNono zinaingia kwenye Benki"

Kiswahili sio lugha yako, jifunze ndio ujifanye Mtanzania.

Kama hamna wivu na dharau kwanini Wakikuyu wanawaongoza tangu uhuru? Kwanini mnauana wenyewe kwa wenyewe huko Kenya?
Siasa mchezo mchafu siku zote, ndio maana mkampiga risasi yule opposition wenyu wakati wa Magu,, ndio maana vijana mtaani wakala kichapo cha kufa mtu kisa kuandamana wakiikashifu serikali juu ya uwizi wa kura, hivyo ndio siasa huchezwa. 😂
 
Akili yako ndogo, hujasoma, huna hela, huna connection, yaani shida tupu alafu upate kazi tu. Unafikiri uko kwa 'uzi wa kula kimasihara' hapa??? 😂 😂 😂 Hii ni Afrika, ka hujasoma, at least uwe na akili ya biashara, ila ka huna vyote, endelea tu kunywa gongo na K-vant... 😂

If you had an eye on my posts, you could have fathomed what type of a person I am long time ago.

Keep well.
 
"Marafiki wangu wote" "
Pesa NonoNono zinaingia kwenye Benki"

Kiswahili sio lugha yako, jifunze ndio ujifanye Mtanzania.

Kama hamna wivu na dharau kwanini Wakikuyu wanawaongoza tangu uhuru? Kwanini mnauana wenyewe kwa wenyewe huko Kenya?
ATI Nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na hapo sijaanza zenye ziko proposed, under construction na topped out na on hold ndani ya jiji la Nairobi. Msa sijafika, huko pia kuna vyombo vinakuja vikali tu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 💉 💉 💉 💉 💉👇 👇 👇

Britam Tower 200.1 m (656 ft) 31 floors.
GTC Office tower 184 m (604 ft) 43 floors.
UAP Old Mutual Tower 163 m (535 ft) 33 floors.
GTC Hotel Tower 143 m (469 ft) 35 floors.
Times Tower 140 m (460 ft) 38 floors.
Prism Tower 133 m (436 ft) 34 floors.
Le'Mac 126 m (413 ft) 24 floors.
Teleposta Towers 120 m (390 ft) 27 floors.
Kenya Commercial Bank Plaza 109.1 m (358 ft) 24 floors.
Kenyatta International Convention Centre 105.2 m (345 ft) 32 floors.
Social Security House 102.7 m (337 ft) 28 floors.
I&M Bank Tower 99.1 m (325 ft) 18 floors.
Moi University Pension Scheme 89.69 m (294.3 ft) 26 floors.
Sanlam Tower 88.2 m (289 ft) 19 floors.
Nyayo House 84.1 m (276 ft) 27 floors. Cooperative Bank House 83 m (272 ft) 25 floors.
Nation Centre 82.9 m (272 ft) 17 floors.
National Bank House 82 m (269 ft) 21 floors.
Rahimtulla Tower 80 m (260 ft) 22 floors.
Anniversary Towers 79.9 m (262 ft) 26 floors.
Lonrho House 79.9 m (262 ft) 22 floors.
Kizingo Tower 77.13 m (253.1 ft) 22 floors.
Reinsurance Plaza 77 m (253 ft) 20 floors.
AmBank House 74.6 m (245 ft) 25 floors.
Chandaria tower /University of Nairobi Towers 22 floors
Jaffery Complex 70.12 m (230.1 ft) 20 floors.
Uchumi House 71 m (233 ft) 21 floors.
ICEA Building 69.2 m (227 ft) 19 floors.
View Park Towers 68 m (223 ft) 20 floors.
International House 65.5 m (215 ft) 17 floors.
Delta Corner Tower 'A' 61 m (200 ft) 21 floors.
Delta Corner Tower 'B' 61 m (200 ft) 21 floors.
Mwalimu Towers 17 floors.
You've not included the following in that list (at least the ones that I can remember):
1. GTC residential tower one
2. GTC Residential Tower two
3. GTC Residential tower three
4. GTC Residential tower four
5. FCB Mihrab tower - 25 floors
6. One Africa Place - 21 floors
7. MJ1 Business Tower - 20 floors
8. Parliament Towers - 26 floors
9. CBK Pension House - 30 floors
10. Upper hill Chambers - 26 floors
11. The Marquis Tower one - 21 floors
12. The Marquis Tower two - 21 floors
13.Hazina Towers - 24 floors

All these are complete/topped out buildings. Hapo hatujaweka zile ziko under construction like 88 Nairobi
 
Back
Top Bottom