Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu si wanapitia madirishani
Kawaida yao, sio wamama, sio wazee. Full mbinde! 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 🙆🏾‍♂️
IMG_20210422_114322.jpg

IMG_20210613_095300.jpg

IMG_20210613_095246.jpg

2174035_Mbagala.jpg

Gongo gang! 😬
IMG_20210607_103809.jpg
 
Kibera ndio kitu kipo Nairobi man we za linganisha na hicho kijiji chenu, hakuna kitu kingine. Hapo tumewaruhusu. Na ususahau bado nangoja picha za magorofa za uswazi nicheke kidogo
Sio kibera tu yenye 2.5 m people kuna mathare, kariobangi, makuru kayaba, kisumu ndogo, etc 🤣🤣🤣👇👇👇👇





Au mm nadanganya 🤣🤣🤣🤣
 
Je nyie muliingia hata hio afcon yenyewe ??🤣🤣🤣 bora ya sisi tumecheza na mpunga tumechukua
Sisi mpira sio sana vile, na tunalijua hilo, ndo maana tuna vunja marekodi kwenye michezo mingine. Mpira chezeni nyinyi!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sisi mpira sio sana vile, na tunalijua hilo, ndo maana tuna vunja marekodi kwenye michezo mingine. Mpira chezeni nyinyi!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
Kumbe sio sana sasa nyamazeni musishindane na team zenye pesa east africa 🤣🤣🤣🤣 au mm nadanganya
 
Fala atabaki fala... Huko kwenyu ziko, au ndio hizo barracks mnawaweka, wakistaafu mnawafurusha? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Hizo za KE ni Unit wanapewa zao kabisa, hela inatolewa kupitia sacco yao. 😂 Mnagonja sana huko, labda akili zenyu ziwe sawa kwa civil servants 💉💉💉👇👇👇👇kionjo tu, zingine nilituma tayari huko juu, yaani wanafanya bonge la investment dadeq, Tz mtaota tu. Hadi jamaa wa boda boda KE, huwezi mfananisha na askari wa Bongo. 😂
View attachment 1816871
View attachment 1816872
View attachment 1816873
View attachment 1816874
View attachment 1816875
Office hizo mkulungwa? 👆 👆 👆 Hata huna aibu...
Vijana wadogo lakini life wanaiona tamu tayari, mpaka usafiri unachukua kwa muda mfupi tu tangu uingie serikalini, inaitwa kujipanga! 👇
View attachment 1816896
Oneni kitu ananiobesha 🤣🤣🤣 ananionesha sehemu appartment za police officers mm nataka kuona polisi wa kawaida wanaishi wapi nairobi 🤣🤣🤣 au unataka kuniambia polisi wote nairobi wanaishi hapo

nikisema ntakua nawaonea 🤣🤣👇👇
568B6EF5-FD93-477A-8F76-801FE54222CB.jpeg
34FB9D52-2AC6-4853-A16F-9D163D03BBC9.jpeg
 
Wanasubiri kusaidiwa na bwana zao 🤣🤣 eti wamepigana vita hata sijui vita gani wamepigana africa hii zaidi ya tribalism war
 
Washaanza kuwashana sasa 🤣🤣🤣🤣 ahh kumbe nimesahau uchaguzi umekaribia

 
Back
Top Bottom