Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibera ndio kitu kipo Nairobi man we za linganisha na hicho kijiji chenu, hakuna kitu kingine. Hapo tumewaruhusu. Na ususahau bado nangoja picha za magorofa za uswazi nicheke kidogo
Ni ukweli Ndugu,Tanzania hakuna Venye Tuko,Kenya mko sawa Sana,DAR Imejaa upupu kila Kona ya Nchi Ni Uswazi mtupu,mpaka Dodoma Ni Uswazi mtupu Sasa heri Dar Kabisaaa,Yani Ni Aibu Nchi imeongozwa na Ujamaa mpaka watu hawawezi kuendelea,Tanzania mpaka serikali Ina wivu,hukumbuki mpaka Maghufuli alipomwona mtumishi mmoja amenunua Gari ya kifahari alimsema mbele ya watu kwenye microfoni ATI kuwa amekuwa Tajiri🙈Yani aibu tupu😬😬😬😬
 
Ur expressway the viaduct is 8km! Wacha ujinga!
Na ni zipi hizo flyovers 30?
Stop lying. What do you gain by lying? The viaduct will start at the Southern Bypass interchange at Eka hotel all the way to James Gichuru Road in Westlands. That's 11.1 km and it's well illustrated here
Screenshot_20210613-014730~2.png

Kamati ya roho mbaya mna kazi kweli
 
Kamanda, mapepe, DazMwalim, BwanaMisosi, Sister P, Queen Dareen, Chief wa Kiumbe, Fid q, AB skills, Joe Makini, Dully sykes, FeruziMrisho, Mwana FA, Ngwair, Zaharan, J-mo, Rich1, AfandeSele, DarScandle, mrnice, mr ebbo, Jaffaray, Doro, BerryBlack/white, Sumalee, MrBlue, TundaMan, HusseinMachozi, P Funk majani, DazNundasFamily, KingwendoFamily SolidGroundFamily.. nawengine kibao tu! waliendagaapi. walikua machizi wangu ile mbaya!!💥💥
bongo flava sio tena. harmonize diamond zuchu rayvany ka aribu..
pole. nilikua nimesau pia pamoja ray c,lady jd, TiD, AY, prof joseph haule, gangwe mob, bushoke, marlow, matonya, alikiba, alicom, mishi, KingwendoFamily(mapepe)........ etc
nipe mmda nta jaza list
 
Stop lying. What do you gain by lying? The viaduct will start at the Southern Bypass interchange at Eka hotel all the way to James Gichuru Road in Westlands. That's 11.1 km and it's well illustrated here
View attachment 1816725
Kamati ya roho mbaya mna kazi kweli
The 0.1km in 11km is for whole of ubungo flyover+flyover zote dar is slum
 
Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣
Mm nilijua police wanaishi humo kumbe ni office building 👇👇👇👇👇

sasa tuoneshe sehemu polisi wakenya waliowengi wanaishi wapi🤣🤣👇👇View attachment 1816674View attachment 1816675
Fala atabaki fala... Huko kwenyu ziko, au ndio hizo barracks mnawaweka, wakistaafu mnawafurusha? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Hizo za KE ni Unit wanapewa zao kabisa, hela inatolewa kupitia sacco yao. 😂 Mnagonja sana huko, labda akili zenyu ziwe sawa kwa civil servants 💉💉💉👇👇👇👇kionjo tu, zingine nilituma tayari huko juu, yaani wanafanya bonge la investment dadeq, Tz mtaota tu. Hadi jamaa wa boda boda KE, huwezi mfananisha na askari wa Bongo. 😂
IMG_20210612_234232.jpg

IMG_20210612_234249.jpg

Screenshot_20210612_234306.jpg

Screenshot_20210612_234322.jpg

IMG_20210612_234409.jpg

Office hizo mkulungwa? 👆 👆 👆 Hata huna aibu...
Vijana wadogo lakini life wanaiona tamu tayari, mpaka usafiri unachukua kwa muda mfupi tu tangu uingie serikalini, inaitwa kujipanga! 👇
IMG_20210613_085154.jpg
 
Ni ukweli Ndugu,Tanzania hakuna Venye Tuko,Kenya mko sawa Sana,DAR Imejaa upupu kila Kona ya Nchi Ni Uswazi mtupu,mpaka Dodoma Ni Uswazi mtupu Sasa heri Dar Kabisaaa,Yani Ni Aibu Nchi imeongozwa na Ujamaa mpaka watu hawawezi kuendelea,Tanzania mpaka serikali Ina wivu,hukumbuki mpaka Maghufuli alipomwona mtumishi mmoja amenunua Gari ya kifahari alimsema mbele ya watu kwenye microfoni ATI kuwa amekuwa Tajiri🙈Yani aibu tupu😬😬😬😬
Hizi Ni vitu moja wapo ambayo Mweheshimiwa Suluhu anajaribu kutusafishia,atatuboreshea Elimu na Tutawafikia Kenya hivi Karibuni
Chunga sana usimiminiwe matusi na wenzako hadi unyang'anywe uraia wako kwa jinsi ulovyoongea hapa. Wenzako hawapendi watu wanaoongea ukweli kama wewe
 
Munathani mutaenda Bure hivi,ngojeni mwaanze kunyoroshwa Huku Kenya Dustbins Nyinyi,watu wajinga,Mimi stawai taka kupatana na Mtanzania mbele ya macho yangu matako Nyinyi,mnawezaje Jaribu kuteka Mkenya mmlazimishe Kazi
Sasa kwani nyie kufanywa watumwa ni kitu cha ajabu? Mbn kule Libya mnafanywa watumwa lkn cc tukiwafanya watumwa mnachukua
 
Hamtujui sisi wakenya TukikasirikaMwache Kufanya mambo ambayo sio ya utu,Mwache kula Albino na Mwache kuteka wakenyaStupid move,Muraeshirya muku kua Mukenya Wana namuikare wega Kenya!!!Ithue Tutiedaga Urimu Nugo ishi
Mjaluo kutoka kibera kachukia
 
Hamtujui sisi wakenya Tukikasirika😈Mwache Kufanya mambo ambayo sio ya utu,Mwache kula Albino na Mwache kuteka wakenya😬Stupid move,Muraeshirya muku kua Mukenya Wana namuikare wega Kenya!!!Ithue Tutiedaga Urimu Nugo ishi😈
Yule boy wa jiji, juzi ame save, angeenda kuliwa na dona ma.... nina! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sasa kwani nyie kufanywa watumwa ni kitu cha ajabu? Mbn kule Libya mnafanywa watumwa lkn cc tukiwafanya watumwa mnachukua
Ati Libya, hehe... Wewe dada zenyu wanati.. na Wahindi kule dubz na India, tena unaongea hapa! Yaani wameenda kazi au kudinyana huko, kazi kwenyu. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Chunga sana usimiminiwe matusi na wenzako hadi unyang'anywe uraia wako kwa jinsi ulovyoongea hapa. Wenzako hawapendi watu wanaoongea ukweli kama wewe
Ni Watz wachache sana wasioujua ukweli kuhusu maisha ya Kenya kwa sasa, ukiona mTz anasifia Kenya na anaujua ukweli ujue huyo anaongelea siasa.
 
Back
Top Bottom