Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Unataka iwe ya TBC? Hujaona na hiyo African Development Bank?Middle class source standard charterd 🤣🤣
Mkiulizwa wapi ndoto za plot nairobi munaanza kulia huko twitter
Kuna siku nilikuuliza ulete source yako yenye inaweka Tanzania mbele ya Kenya na umeshindwa hadi wa leo. Si unyamaze tu basis na uzidi kusoma number?



