Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where is 10 lanes wakat thika yenyewe haina 10 lanes 🤣🤣🤣🤣

nasubiria kuoneshwa 10 lanes ritoni limuru road 😂😂😂😂
We huwa hujielewi,,wajua tz hakuna service lanes dyo maana huwa una ushamba ukisema syo barabara,,hujui tofauti ya exit lanes na service lanes
 
Screenshot_20210612-222730.jpg
 
Sio mm niliesema ni world bank ndio wamesema 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 kwann unakasirika sasa yani hata zimbabwe sasa ana nafuu kuliko nyie alaf mkija hapa ohh nye nye sisi tuna GDP kubwa imesaidia nnView attachment 1816455View attachment 1816456
Hii ndio tatizo la kutetea kitu hauna ufahamu wowote kuhusu. Bongolala, hii article unaletanga hapa kila siku inazungumzia mataifa ambayo yanakuwa ranked from $3 a day. Sio mataifa masikini kama Tanzania ambayo ranking yao inaanzia $1 a day. Ki ufupi ni kwamba 40%ya wakenya( 20.8m people) wanaishi chini ya $3 kwa siku.

Huko kwenu, 28 million people live on less than a dollar a day. Jiulize kama mngepimwa kwa kiwango sawa na Kenya hiyo idadi ingefika ngapi?

Jifunze kuelewa 'evidence' unazoleta humu ndani zinazungumzia nini. Sio bora tu umeona neno Kenya limeandikwa mahali
 
Yani ukiandika tu slums in default inakuja Kenya, ndo mana huwa nasema Kenya ni Mavi mnasema nawatukana
 
Wacha woga.
Niogope nini, Nairobi Kama hizi Ni zaidi ya 30,,tena tuna expressway overpass 10 km,, Western baypass ziko 7, southern bypass pia ziko kadhaa,Thika superhighway Ni more than 10, outering road ziko nyingi,,
Mombasa is now a new construction hub ya overpass,, Kisumu,Nakuru,and Eldoret
 
Wakati tunajenga flyovers pia tunajenga the longest electrified railway in Africa, pia tunajenga one of the largest hydropower Dam, pia tunajenga BRT at the same time, so u can imagine who is the richest in EA.
Hii inafika hizo zote
98F85226-35D0-4756-A9BB-BC77A68957A8_1_201_a.jpeg

Expressway 🔥🔥🔥🔥🔥😜😜😜
 
Niogope nini, Nairobi Kama hizi Ni zaidi ya 30,,tena tuna expressway overpass 10 km,, Western baypass ziko 7, southern bypass pia ziko kadhaa,Thika superhighway Ni more than 10, outering road ziko nyingi,,
Mombasa is now a new construction hub ya overpass,, Kisumu,Nakuru,and Eldoret
Toa usenge wako hapa pumbavu wewe thelathini mtoe wapi na njaa mnayonuka. Ma flyover yenu mostly c ndio yako hivi
JamiiForums-229765224.jpg
JamiiForums1459412166.jpg
 
Back
Top Bottom