Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,123
Wewe bhana! 😂 😂 😂Kwanza hzo sidhani km zitanikula hata 20k mazee, alafu fundi unachukua wanyaji pombe za asili tu mwisho wa siku unapata dream house yako in dar[emoji26]
Nilidhani ni generator za bakhresa, kumbe ni gari moshi... 🤷🏾♂️😬🤣🤣🤣🤣🤣Lazma cheki inavohara moshi 🤣👇👇 unaeza sema rocket inapaaView attachment 1816482
Hata mimi naona! 💉💉💉Fisiemu ishaanza mashambulizi? 😂 😂 😂 😂 😂Yani hawa jamaa wanaumia usione hvi ukienda twitter utawaonea huruma wanalia huko mpaka wanahara 🤣🤣🤣🤣🤣
Case closed [emoji357][emoji359]nimeipenda hii comment kuhusu comparison ya countries budgets [emoji23][emoji106][emoji122]
View attachment 1814885
At the moment, Nairobi has more 20+ buildings than the rest of Eastern Africa combined.Hiyo ni escada apartment ambayo inajengwa na canaan developers na kwa sasa iko floor ya twentyView attachment 1816376
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
Kabisa mzee, hapo gharama ya fundi konyagi tu[emoji1787][emoji1787]Wewe bhana! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya sasa ni matumizi mabaya ya nyegeWanaishi wale top officers na wale wenzetu kwangu pakavu wanaishi wapi ukipata nitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1816459View attachment 1816460
Top officers, hahahaha... 💉💉💉💉Pap! Askari wa ngazi ya chini hao, wale wakubwa wengi wao tayari wanamajumba tangu kitambo hela ipo. 😂Wanaishi wale top officers na wale wenzetu kwangu pakavu wanaishi wapi ukipata nitag 🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1816459View attachment 1816460
Wale investors anaopiga nao kelele hapa kenya police n mmoja wapo[emoji1787][emoji1787]Top officers, hahahaha... [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Pap! Askari wa ngazi ya chini hao, wale wakubwa wengi wao tayari wanamajumba tangu kitambo hela ipo. [emoji23]
View attachment 1816520
View attachment 1816521
Na hapo bado kuna sacco anakula hela ya investment bado kila mwezi, kando na ya mshahara [emoji116]
View attachment 1816524
View attachment 1816526
Tukiwaletea comment za watanzania hiaga mnazikataa na kuwaita chadema[emoji1787][emoji1787]ukweli kwenu mchungu sana walaiwalioko humu kama vile wapo mbinguni.. wa twitter sasa ndo wako dunian kenya
Tunajua hujala, vipi una mpesa nkutumie ukale??? 😂 😂 😂 😂Middle class wa kwenye mitandao!wakenya mna dhiki mlo m1 kwa siku shida
Hawapendi ukweli ila tutawapa tu, hakuna kufichana hapa! 🤣 Hao hapo chini wanaitwa 'frogmen' kule Bongo, sasa kazi yao ni kuchota na kusafisha sewage systems na vyoo vikijaa, yaani mimavi mavi ile, asikwambie mtu kitu. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Tukiwaletea comment za watanzania hiaga mnazikataa na kuwaita chadema[emoji1787][emoji1787]ukweli kwenu mchungu sana walai
Unaumwa wewe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]At the moment, Nairobi has more 20+ buildings than the rest of Eastern Africa combined.