Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnatiwa 💉💉💉 tu! 🤣 🤣 🤣 Yote yanayofichwa tutayajua!
View attachment 1816016
Lakini hatujachukua 😅😅😅 wametoa masharti na sisi hatufuata bado sijui tuko pamoja 🤣🤣🤣Sio kwenu nusu ya budget mkopo tena wakukopa john kumlipa halima with double interest
 
Hujaambiwa ni ya kenya, huoni ni render tu hiyo, acha uboya, anatoa mfano tu! 🤣 🤣 🤣
So lini interchange ya ethiopia ikawa render ya mombasa 🤣🤣🤣 bado munahangaika na three level kwani??
 
👇 🤣🤣🤣💉
View attachment 1815964
View attachment 1815965
Wanaishi wale top officers na wale wenzetu kwangu pakavu wanaishi wapi ukipata nitag 🤣🤣🤣👇👇👇👇
3D186745-B91B-43DF-A4D2-AF61CCF0F598.jpeg
BCB5F08C-EF7B-4B54-81B5-6304A270BA60.jpeg
 
Mzungu adanganye? Pwahahahahaha! 🤣 💉💉💉
Fungueni blog mueke picha za congo museme ni tanzania ili google earth waeke na slum tanzania au vp 😂😂😂😂😂
 
Hata mimi ntajenga ka hiyo! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwanza hzo sidhani km zitanikula hata 20k mazee, alafu fundi unachukua wanyaji pombe za asili tu mwisho wa siku unapata dream house yako in dar[emoji26]
 
Sasa mji kama Mbeya iko na nini ipewe hadhi ya jiji? Jiji ambalo liko na nyumba moja ya lift!
Stupidi manki.


Ukiulizwa ni lini "tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi" zilipewa hadhi ya majiji huna jibu la kujibu.

Rura ruka kama maharage yanayokaribia kuiva.
 
Stupidi manki.


Ukiulizwa ni lini "tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi" zilipewa hadhi ya majiji huna jibu la kujibu.

Rura ruka kama maharage yanayokaribia kuiva.
Yani hawa jamaa wanaumia usione hvi ukienda twitter utawaonea huruma wanalia huko mpaka wanahara 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa mji kama Mbeya iko na nini ipewe hadhi ya jiji? Jiji ambalo liko na nyumba moja ya lift!
Niliona hiyo kitu bhana, ati sababu jengo lina lift, watu wanajazana kuona, duh, kazi ipo! 😬 Mpaka inafanyiwa inauguration! 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom