Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pole sana.. sisi sio matahira kama nyie.. ni 150 MW.. mwanzo walitangaza tender za kujenga 20 MW-50 MW kwa mikoa sita.. ila hio sign inajumuisha total ya 150 MW (awamu ya kwanza ni 50 na pili ni 100)
Bwahaha!!we mpuuzi sana kumbe, habari inasema 50MW
 
FB_IMG_1623481528570.jpg
FB_IMG_1623481523053.jpg
FB_IMG_1623481516030.jpg

JKCI,no like other!
 
Nothing like that in Addis you idiot.., 😂 😂 😂 punguza maumivu..,just a picture of somewhat what to expect., may not be exactly, but is a complex three level interchange in Mombasa, apart from other flyovers already up and running.., Tanzania je? ni Dar tu.

Daraja hilo lipo sehemu gani Mombasa? When was it constructed?
Coz last time I checked, the biggest project in Mombasa was Makupa project.

 
Aliesema nani uswazi yenyewe kuna nyumba za heshima na magorofa 🤣🤣🤣 ni slum gani ya nairobi utakuta nyumba nzuri ya block wapi??
Eti uswazi kuna maghorofa! 😂 😂 😂 Hiyo ni uswazi gani ya Dar ambapo maghorofa yanapatikana? Hebu leta aerial photos za hizo mitaa za uswazi zenye maghorofa tuone hapa

Talking of maghorofa na nyumba za blocks, this is Kariobangi 'slum'
Hesabu nyumba za magorofa/blocks kisha uniambie ziko ngapi then linganisha na zile dreamhouses zenu za uswaziView attachment 1816215
images(215).jpg

images(214).jpg
47344198d13b8a071bb15f9732ae5476.jpg
e7e674bcb7ad1d0d3c3ac5130e366084.jpg
images(215).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom