Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

South C is rising,, apartment over 15flr coming up in great numbers,,sijui after completion of expressway šŸ˜ ita respond aje,just waiting.....
FB_IMG_16235193280945816.jpg
 
Niogope nini, Nairobi Kama hizi Ni zaidi ya 30,,tena tuna expressway overpass 10 km,, Western baypass ziko 7, southern bypass pia ziko kadhaa,Thika superhighway Ni more than 10, outering road ziko nyingi,,
Mombasa is now a new construction hub ya overpass,, Kisumu,Nakuru,and Eldoret
Ur expressway the viaduct is 8km! Wacha ujinga!
Na ni zipi hizo flyovers 30?
 
Na Wakenya wengi hawajaenda shule, huwa wanakuja pale ofisini miandiko mibaya kama chura kapita.
 
We huwa hujielewi,,wajua tz hakuna service lanes dyo maana huwa una ushamba ukisema syo barabara,,hujui tofauti ya exit lanes na service lanes
Tuoneshe basi hio 10 lanes wakat thika yenyewe ni 8 lanes 🤣🤣🤣🤣 njia za kuingia na kutokea hua hazihesabiki kwenye lanes punguzeni ushambaa
 
Back
Top Bottom