Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Kumbe wa Tandale huyo? 😂 😂 😂 👇 👇 👇Wewe kila siku nasemanga ni wa kupuuzwa tu. Hauna kipya, ni ujinga tu umejaza kwenye hiyo kichwa chako. Ni wapi nimetaja GDP kwenye comment yangu? Yani badala ya kujibu hoja unakimbilia mambo ambayo hayazungumziwi. Kijana wa Tandale, I know how painful it is but sisi kipimo chetu cha umasikini ni chini ya $3 kwa siku. Nyinyi nchi masikini kipimo chenu ni chini ya $1 kwa siku. Hiyo ndio hoja unafaa kujibu, sio kupayuka
