Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpaka Sasa wanamlaumu Magu,Ngoja Tuone Sasa wamepewa uwanja watafute pesa,tutaona Kama Bado wataendelea kulala😬😬
I pray you survive in the next PEV Genocide coming out in Kenya.
You can alternatively relocate to Tz usikufe kwa kupigwa risasi na polisi au Kukatwa mapanga na Mungiki.
nyinyi watanzania muwakubali aje wakimbizi, ilhali mliwakataa majirani zenu waburundi juzi walipokumbwa na machafuko,.
iliwabidi hao hao waburundi watorokee Isibania, kenya. angalau hapa kenya wakapata afueni (chakula na refugee camps toka GoK).
nyinyi mna roho chafu sana, magufooli kawa adaa na kuwa pumbaza eti tz imeendelea saaaaaana,.. hata msitake watu toka nje, especially waburundi na wacongolee. tu na imagine kama ingekua wakenya, mnge tu treat aje!?🤔
 
I pray you survive in the next PEV Genocide coming out in Kenya.
You can alternatively relocate to Tz usikufe kwa kupigwa risasi na polisi au Kukatwa mapanga na Mungiki.
Sio mkenya huyo mkuu, ni mTz aliyetumbuliwa na Magufuli anatumia Id nyingi humu, moja wapo ni Choice Variable nyingine ni Opportunity cost, hakuna mkenya anayemchukia Magu namna hiyo, vita ya Wakenya na Magu ilikuwa ni jinsi Magu aliibana Kenya km nchi so amekufa na Wakenya wala hawana ugomvi naye, Wakenya wengi wanajua Magu alikuwa genius, ila huyo ni mTz mwenye personal attacks kwa Magu, huoni kila siku yeye ni magu tu wala hana habari na lengo la huu uzi.
 
Mathematics is a problem in TZ,ukiona mtanzania yeyote Humu JF anakoroga maths jua tu alisomea KE,Yani mambo Kama Haya yanarudisha TZ nyuma,Hayafai ata kidogo
Kenya mmebobea zaidi kwenye masomo ya arts, but science and mathematics yana wenyewe
JamiiForums24428454.jpg
 
So mumedanganywa na jubilee hio ni ppp🤣🤣 hebu niambie serekali imechangia kias gani kwenye hio project
Tafsiri PPP kwa Kiswahili kwanza kabla ya kuandika mambo usio yaelewa au kufahamu.I can understand if it’s lost in translation for you and the other clowns!
 
Back
Top Bottom