Na mm nijibu ni kiasi gani huo mradi jubilee imeweka pesa ili huo mradi uitwe ppp yani mchina aweke pesa zake na bado ataweka toll zake do u think a single coin will go to ur government labda mchina awe mwehu 🤣🤣 nyinyi subirini mchina akamilishe mradi wake alaf pain mutakutana nayo pale toll for 30 good yrsTafsiri PPP kwa Kiswahili kwanza kabla ya kuandika mambo usio yaelewa au kufahamu.I can understand if it’s lost in translation for you and the other clowns!
Hebu tutafsirie wewe tujue GoK ilichangia shilingi ngp kwenye hiyo ppp ama la Wakenya wote ni mambumbumbu hamjui maana ya ppp.Tafsiri PPP kwa Kiswahili kwanza kabla ya kuandika mambo usio yaelewa au kufahamu.I can understand if it’s lost in translation for you and the other clowns!
Are you comparing your dreamhouses with Nairobi slums? Is that how low your levels are?Still way better compared to slums in Nairobi
Haya tuambie debt of budget nayenyewe tuone 😀😀😀😀 kopa halima lipa pitaEAC budgets View attachment 1814665
Fananisha nyumba anaZoishi maskini wa dar ni pepo ya maskini kutoka kibera 😁😁😁Are you comparing your dreamhouses with Nairobi slums? Is that how low your levels are?
Nairobi nzima imejaa slums so which place in Nairobi are you talking about?Are you comparing your dreamhouses with Nairobi slums? Is that how low your levels are?
Duh bonge la picha wallahi, watakuambia the beautiful view inapatikana Kenya, wehu kweli hawa





Nijibu kwanza,tafsiri PPP kwa Kiswahili? I guess you’re clueless on this too.TZ has some toll roads eg chalinze - Dar road so what’s the difference????Na mm nijibu ni kiasi gani huo mradi jubilee imeweka pesa ili huo mradi uitwe ppp yani mchina aweke pesa zake na bado ataweka toll zake do u think a single coin will go to ur government labda mchina awe mwehu 🤣🤣 nyinyi subirini mchina akamilishe mradi wake alaf pain mutakutana nayo pale toll for 30 good yrs kwanza
huko shule 1000 za sekondari zikikosa walimu wa physics na hesabu![]()








Peleka uboya kando, hatuko shule ya vidudu hapa! 🤣 🤣 🤣Wewe pimbi wacha ujinga, swala ni mnyama.
Hii Ni Upuzi Nakwambia/propaganda na Bado hamuwezi kutoa mutu Kama Mukisa kitui na wengine wengi ambao walikuwa wanapiga mahesabu abroad🔥🇰🇪🔥
Mbona upande mmoja tu?
Peleka uboya kando, hatuko shule ya vidudu hapa!![]()
![]()
![]()
Tanzania ndiyo nchi pekee hapa Afrika kutoa new scientific fact na ikakubaliwa na wana science duniani koteHii Ni Upuzi Nakwambia/propaganda na Bado hamuwezi kutoa mutu Kama Mukisa kitui na wengine wengi ambao walikuwa wanapiga mahesabu abroad![]()







Are you saying/confirming that 80% of people who live in Dar are poor? Nasema hivyo coz 80% of Dar inafanana na hizo picha nilizoleta hapo juuFananisha nyumba anaZoishi maskini wa dar ni pepo ya maskini kutoka kibera 😁😁😁
wacha blablabla Nyingi Taja mtu moja aliyetambulika internationally kwa masomo sanasana Hesabu,Kama,Dr Mukisa Kituyi,ambaye alikuwa secretary General wa (UNCTAD)United Nations Conference Trade And Development🔥🇰🇪🔥🤑Yani wacha tuTanzania ndiyo nchi pekee hapa Afrika kutoa new scientific fact na ikakubaliwa na wana science duniani koteView attachment 1814673