Nimecheka sana wallahi yn Wakenya wakitaka kujionesha wana maisha mazuri lazima waumbuke mana wana fake hakuna mkenya hata mmoja amefanikiwa ktk hilo ukiacha Tony 254 ambaye yeye alionesha vyeti na kweli tulikubaliana naye, ila hawa wa kuonesha wana mali kumbe ushuzi mtupu huwa wanaaibika vibaya sana.
Tazama ilo buti la mtu aliyepanda business class, alafu angalia na kiti kilivyo cha ubabaishaji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1810538