Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ka hujui kitu bora unyamaze tu, hivi huoni buti jipya? Kula karoti hebu! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Naona ni jipya ndani ya KLM business class [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huna business mind wewe, mtu apandishe floors bila kuwa na uhakika kwamba atapata faida ikiwa sehemu hiyo? 😂 😂 😂 Wangekuwa na fikra ka zako wasingelijenga kamwe!
Na sasa mumeenda kurudia makosa ya expressway yani miaka 30 aisee kweli ni mlevi tu anaeza kubali
 
Hivi wasema haifanyi kazi? Ama tulikuwa tusiilete sababu wabongo wamesema ama? 😂
Inafanya kazi na hasara juu na haitalipa deni hata ipewe miaka 50 na yote aliyasema mchumi mmoja anaitwa dr ndii 🤣🤣🤣 na sasa maneno yake yametimia
 
Inafanya kazi na hasara juu na haitalipa deni hata ipewe miaka 50 na yote aliyasema mchumi mmoja anaitwa dr ndii 🤣🤣🤣 na sasa maneno yake yametimia
Vipi hapo, hamjambo? 🤣 🤣 🤣
IMG_20210604_111021.png
 
Hivi hawa mbn wanavituko sana duniani hapa, yn kila uozo upo Kenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wanamaisha ya maigizo kila sector mpaka wizara kenya zimeoza hakuna sector hata moja hua inafanya vzr 🤣🤣🤣🤣 hio treni ina haki zote za msingi kuungua
 
Back
Top Bottom