ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Arusha imepata traffic light ya kwanza 2008 ni miaka 13 ww unazungumza nn wewe🤣🤣 haya mambo munayofanya leo kisumu kwetu yalishafanyika miaka kenda na hata tulishayasahau kabisa 😁😁😁2 yrs 1mth na 3yrs... Difference 9mths - sasa hapo kuna umbali gani, wacha kuwa fala fala saa zingine, waambie wakuekee hadi ghetto kwako basi, boya kweli! 😬😬😬🤣🤣🤣🤣🤣

