Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Order at Kimara BRT bus Terminal

IMG_8021.jpg

IMG_8020.jpg

IMG_8019.jpg

IMG_8018.jpg

IMG_8017.jpg
 
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿


Ila kusema kweli Nandy anapendeza akiimba kwa staha na maringo na si kwa kuruka ruka kama wanaume TMK! Nyimbo zake genre zinahitaji aji-represent ki-soft haswa kwenye stage management kama ku-dance basi adance kwa kukatika na kwa kufuata utaratibu si kuruka ruka hivyo! Yaani anapaswa kuimba kama lady Jaydee flani hivii!
 
Alafu kuna jitu kule linachekelea eti makampuni yao ya umeme yanatengeneza faida kubwa kuliko tanesco, wakati sis tunaangalia jinsi ya kumpunguzia mwananchi wa kawaida gharama za umeme wao wanaangalia jinsi ya kuongeza faida kwq kupandisha gharama za umeme
Magufuli alishawahi kusema kuna baadhi ya vitu havifai kuendeshwa na sekta binafsi, kwa mfano umeme ni huduma Ila tukiiachia sekta binafsi iendeshe maanayake itakua ni biashara, je watu wa kawaida wataweza kupata umeme Ili wajikwamue kimaisha.? Umeme,maji, usafiri wa treni, barabara, mabasi ya kubeba watu wengi kama BRT, hizi vitu hata duniani huko havimilikiwi na sekta binafsi since hizi ni huduma na sio biashara, hiv ni vitu vya lazima (basic needs) kwa kila mtu
 
Ila we mkunya wa kingese unajiskia ushuzi unaojamba lakini .? 😂😂 Yanii huu uchafu ulinganishe na fumba with 500 luxurious houses.? How come.? Hebu nikutembelee kidogoView attachment 1807536View attachment 1807537. Unatoka wapi ujasiri wakutaja lami kwenye sentence moja na fumba town .?? We jamaa huwezi kuwa timamu . Ila we bwege akili za kuitaja fumba kwenye uchafu wenu ulizotoa wapi.?

Hiyo Fumba Town unaitaja unaweza sema wanaojengewa ni raia wa Tz pekee, je wewe hapo utawezana, Wakati unasema everything cheap huko? 😂
 
Wakenya wanajifanya wanajua lugha ya Malkia kumbe uozo mtupu
Si kujifanya, wengi wetu tunajua lugha ya malkia vizuri hiyo yote imeletwa na masomo kuwa available for each and every child in KE old enough to start school. That's why karne hii utapata wakenya - CNN, Hollywood, EPL nk... Hiyo yote ni kuwa na kisomo na weledi wa kutumia hiyo lugha ya malkia.
 
Back
Top Bottom