Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimecheka sana wallahi yn Wakenya wakitaka kujionesha wana maisha mazuri lazima waumbuke mana wana fake hakuna mkenya hata mmoja amefanikiwa ktk hilo ukiacha Tony 254 ambaye yeye alionesha vyeti na kweli tulikubaliana naye, ila hawa wa kuonesha wana mali kumbe ushuzi mtupu huwa wanaaibika vibaya sana.

Tazama ilo buti la mtu aliyepanda business class, alafu angalia na kiti kilivyo cha ubabaishajiView attachment 1810538
Hiyo mali unayoongelea iko wapi hapo? Ama wataka niwe Dangote? 😂 Acha uboya wewe, hivi mtu mwenye akili anaweza panda mwewe akiwa amevalia ka hivyo, huoni niko kazini, wacha utopolo, mwenzako Geza ashakueleza hapo juu. Acha perepere nyingi, ka umeenda shule ungekuwa unajua hiyo ni demo tu, changamka mtoto wa kiume! 🤣 🤣 🤣
 
kenya dup! (the 3rd largest economy in sub saharan africa! only after nigeria and south africa).. makwerekwere hatuwataki hapa
sgr1.jpg
sgr2.jpg
thika superhighway1.jpg
 
Wewe ndiye unamiliki hili buti View attachment 1810539

Hawa wakulungwa noma sana, wanfly First class, wanadrive Bugatti, wana mahela kama yote( Mapesa) sasa ku urgue na watu kama hawa ni shidaaaaa . Yule mkulungwa wa First Class inaonekana alitembelea sijui flight training center la kq ye kaona kafly first class. Au ni afisa usalama wa OSHA , maana kafunika na logo ya Tshirt itakua ina ujumbe hapo. Ila wakulungwa kama hiyo ni first class na ndege inaruka hiyo, first class hawekewi hata glass ya champagne, inflight magazine etc , angalia hiyo seat juu ya kichwa ilivyochafu na ianvyitoa manyoya.
 
Tunaongelea Arusha, umesema tayari iko na moja, Ishaisha hiyo, nimejua sasa! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Alafu zazima zima huwa eti??? 😂
Nakwambia arusha ziko zaidi ya 7 na kisumu imefungwa moja 2019 may haya ongea kingine au unatafuta njia ya kutokea 🤣🤣🤣
 
Hahaha, si ulisema miaka mitatu sahi umeruka tena, duh 💉 hiyo... 😂 😂 😂 Unazungumzia traffic lights za Kinjeketile Ngwale??? 😂
Zaidi ya miaka mitatu maana yake ni over three years ngoja nitafute lugha ya kijaluo nikwambie kwa lugha hio omera 🤣🤣🤣
 
hivyo viatu tu vinaonyesha upo kwenye viti vya flight exhibition! Unavaa safety shoe kuingia business class kwa airline! Halafu hiko kiti kimebomoka ndo maana huoni nembo ya airline yoyote hii ina maana hakiko ndani ya airline 🤭 🤭
🤣🤣🤣🤣🤣 hurumieni hao watu plz
 
Which pain are you talking about!?
Kwani muendesha kwenye expressway bure ?? Au mchina kuimiliki miaka 30 unafkiri maana yake nn??🤣🤣🤣 pain mutakutana nayo kweny toll za mchina mark my words na mutalia huko twitter am just waiting
 
Nakwambia arusha ziko zaidi ya 7 na kisumu imefungwa moja 2019 may haya ongea kingine au unatafuta njia ya kutokea 🤣🤣🤣
Tunashindania traffic lights, baki pekee yako, huo ni utoto sasa! 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom