Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe acha utopolo, jibu swali, why majirani why??? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Hutaki kusema kama kisumu imepata traffic light juzi wakat arusha ina hvo vitu over three years back๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Shukran kwa picha za upande๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†, uhalisia ndo huu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† utaskia sijui kijitonyama sijui morroco cbd.View attachment 1810166
Ngoja tuzoom tuone ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ CBD nairobi na dar ni moja tu ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
06524AA0-F379-45F8-8D28-2576B927242B.jpeg
5C3F54A6-471A-40F9-A15E-BAAE4818E6FE.jpeg
 
Tanzania munaeza simamisha Mradi wa raisi and file such a petition ama mko colonial era's bado
Uhehhehe rais mwenyewe mwizi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ katia hasara nchi 14b ksh alaf unafurahia ushuzi hapa wakat pesa zimekwenda kwa watu walewale politicians
 
I'm hoping we don't reach this level, not in a bad way. No single space.
Hio ndio maana halisi ya concrete jungle hio mutafika 2100 musijali kwanza fyekeni ile misitu ambayo ni nusu ya area yote nairobi mujenge ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mutoe wale slum dwellers 2.5m from kibera slum
 
Hutaki kusema kama kisumu imepata traffic light juzi wakat arusha ina hvo vitu over three years back๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Zinafanya kazi, full time? Ama ni vile imeelezwa kwa ile picha? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Uhehhehe rais mwenyewe mwizi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ katia hasara nchi 14b ksh alaf unafurahia ushuzi hapa wakat pesa zimekwenda kwa watu walewale politicians
Kamwambie akukopeshe, inaonekana huna kitu, mbona machungu hayo? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Pole sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kisumu ina traffic light moja wakat arusha zipo zaidi ya 7๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tunaongelea Arusha, umesema tayari iko na moja, Ishaisha hiyo, nimejua sasa! ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Alafu zazima zima huwa eti??? ๐Ÿ˜‚
 
Hutaki kusema kama kisumu imepata traffic light juzi wakat arusha ina hvo vitu over three years back๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kisumu iliwekwa 2019, hiyo ni miaka mingapi kilaza??? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Hehehhehehe yani kama cost ilikua 100b ksh sasa imekua 300b ksh ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ dream of plot and houses waachieni politicians na government top officers ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Kisumu iliwekwa 2019, hiyo ni miaka mingapi kilaza??? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Miaka miwili na mwezi mmoja ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ traffic light imewekwa 29th may 2019 mpaka leo ni miaka miwili na mwezi mmoja so??๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† Bado unataka kushindana na arusha serious??
 
Tunaongelea Arusha, umesema tayari iko na moja, Ishaisha hiyo, nimejua sasa! ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Alafu zazima zima huwa eti??? ๐Ÿ˜‚
Arusha ina traffic light zaidi ya saba ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡
Pole sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kisumu ina traffic light moja wakat arusha zipo zaidi ya 7๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kamwambie akukopeshe, inaonekana huna kitu, mbona machungu hayo? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Mm au akukipeshe wewe upate dream ya kununua plot mjini ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kuna mume wa anty yangu kafanya kazi saud arabia 30yrs kaishia kujenga nyumba nje ya kisumu njia ya kwenda maseno university main campus sasa imagine wewe hapo ndoto unayo kweli au unasubiria urithi wa ukoo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Miaka miwili na mwezi mmoja ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ traffic light imewekwa 29th may 2019 mpaka leo ni miaka miwili na mwezi mmoja so??๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† Bado unataka kushindana na arusha serious??
2 yrs 1mth na 3yrs... Difference 9mths - sasa hapo kuna umbali gani, wacha kuwa fala fala saa zingine, waambie wakuekee hadi ghetto kwako basi, boya kweli! ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tutegemee mazuri ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
2 yrs 1mth na 3yrs... Difference 9mths - sasa hapo kuna umbali gani, wacha kuwa fala fala saa zingine, waambie wakuekee hadi ghetto kwako basi, boya kweli! ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nimekwambia over three years ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ au hujui maana ya over ??

Back
Top Bottom